Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

Achana na matamko ya kwenye campaign jikite kusonga mbele kivyako kwani ni wabunge wangapi wametekeleza kila walichoahidi?Bora hata Jiwe kuna baadhi ametekeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umeongea point sana mkuu,,, ila hii nchi awamu hii tumepatikana !!🤣🤣🤣🤣 yan tunatawaliwa kikoloni kabisa!!
 
Watapata ujasiri tu hasa baada ya hii sheria moya
Na hofu yangu kuu ni hii hii sheria mpya ya vyama vya siasa naona kabisa wanasiasa wachache watakaojitokeza kusimamia na kutetea wanyonge
 
Na hofu yangu kuu ni hii hii sheria mpya ya vyama vya siasa naona kabisa wanasiasa wachache watakaojitokeza kusimamia na kutetea wanyonge
Uzuri wake Lissu anailipua nje tukikazazna kuilipua ndani nyama itaiva
 
Achana na matamko ya kwenye campaign jikite kusonga mbele kivyako kwani ni wabunge wangapi wametekeleza kila walichoahidi?Bora hata Jiwe kuna baadhi ametekeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuachane na matamko ya kwenye campaign how?? you can't be serious nigga yan unataka tupotezee uongoo ambao unatucost!!

Ebu mention apah vitu ambavyo kateleleza kwenza ili twende sawa
 
Tutabangua korosho wenyewe maana nguvu kazi ya jeshi ipo...

Ila naskia leo kaufyata mkia kwa kenyatta...

Jamaa yuko na shida mahala fulani kwenye kichwa chake...

So sad...
 
Tuachane na matamko ya kwenye campaign how?? you can't be serious nigga yan unataka tupotezee uongoo ambao unatucost!!

Ebu mention apah vitu ambavyo kateleleza kwenza ili twende sawa
Kama uko current utajua tu labda km wewe si mfatiliaji kwa uchache, elimu bure, kununua ndege,kujenga miundo mbinu mbali km vile barabara, vituo vya afya, hosipitali za wilaya,Kahidi kutoa pesa kwa watu na taasisi na ametoa, so vyote ameweza kutimiza lkn anajitahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika mashairi tu, maelezo mengi yasiyo na takwimu Sawa na taarabu. Lete facts with figures tujadili vinginevyo hizo ni ngonjera tu
 
Amechuja kwa sababu kutotenda haki ,kutofuata sheria na katiba .Kwa sababu ya visasi na uwezo wake mdogo wa kuhimili kiti cha urais ,maana hicho kinahitaji busara na hekima vitu ambavyo he doesn't have .
 
Kila mtu "Magufuli Magufuli"..miaka fulani mambo yali tight kila mtu akalia eti "Ukapa Ukapa" wakimaanisha mipango ya mstaafu Rais BMW alileta hali ngumu ya mpito..
Rais sio Mungu anahitaji watu wamsaidie, tatizo wanaopaswa kumsaidia hawaeleweki wana agenda ipi matokeo yake ni "kutumbuliwa kutumbuliwa" ifike mahali awaite Mawaziri,RCs,Spika wa Bunge na maafisa Utumishi katika kikao cha siri awape somo wanasababisha anaonekana mbaya sababu na wao hawafanyi kazi zao ipaswavyo..ule msemo Mzee makamba alisema kila mzigo mzito mpe nyamwezi sidhani kama Rais Magufuli anastahili kufanya kila kitu kama watu wanavyodhani..ikiwa atafanikiwa uchaguzi 2020 itampasa kuna na model nyingine ya kiutawala.."Pm should work hard than President"
Mwisho CCM lazima ibadilishe utaratibu wake wa kundesha siasa dhidi ya vyama vingine pia Watumishi wa umma na Serikali wawe waaminifu kama viapo vyao hapo tutapata maendeleo ya kweli
 
Mwendawazimu na kuongoza chochote duniani achilia mbali kuongoza nchi wapi na wapi!?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…