Siyo kweli! Tuwe tunajaribu ku google baadhi ya taarifa kutoka kwenye mitandao! Hapa nanukuu baadhi ya cvs ya Mhe. Magufuli: "Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.In 1985 he was enrolled at the University of Dar es Salaam where he graduated and earned a B.Sc Ed. (Hons) in Chemistry and Mathematics in 1988 and went to earn a Masters Degree in Chemistry from both the Universities of Dar es Salaam and Salford in the UK in 1994. He currently holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam." Kwahiyo siyo kweli kwamba hajatoka nje ya nchi!JPM kasomea UDSM kuanzia bachelor mpaka PHD kama ujuavyo wanasayansi huwa hawafuatilii historia au masuala ya geography kivile kama watu waliosoma sheria,Arts na Economics,
Katika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.
sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)
JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .
Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.
Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.
Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )
JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili
Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.
Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa
Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978. He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.[2]Siyo kweli! Tuwe tunajaribu ku google baadhi ya taarifa kutoka kwenye mitandao! Hapa nanukuu baadhi ya cvs ya Mhe. Magufuli: "Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.In 1985 he was enrolled at the University of Dar es Salaam where he graduated and earned a B.Sc Ed. (Hons) in Chemistry and Mathematics in 1988 and went to earn a Masters Degree in Chemistry from both the Universities of Dar es Salaam and Salford in the UK in 1994. He currently holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam." Kwahiyo siyo kweli kwamba hajatoka nje ya nchi!
Mbona mnang'ang'ania JPM anende nje.... Mnataka kumpindua nini??!!Katika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.
sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)
JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .
Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.
Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.
Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )
JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili
Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.
Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa
Angalia TOVUTI ya Serikali ya JMT badala ya Wikipedia! Inasema hivi:Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1974 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978. He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.[2]
Magufuli earned his bachelor of science in education degree majoring chemistry and mathematics as teaching subjects from theUniversity of Dar es Salaam in 1988. He also earned his master's and doctorate degrees in chemistry from the University of Dar es Salaam, in 1994 and 2009, respectively.[3]
Mkuu tatizo la ukawa wao wanawaza ngono na maandamano tu magufuli katoka nje sana tu,hata hivyo hao viongozi ambao mpaka wamejenga nyumba ulaya ma marekani wamelifanyia nini Taifa zaidi ya kuiba mali zetu na kwenda kuficha nje ya nchi manina zao kabisa.Siyo kweli! Tuwe tunajaribu ku google baadhi ya taarifa kutoka kwenye mitandao! Hapa nanukuu baadhi ya cvs ya Mhe. Magufuli: "Dr Magufuli started his education at Chato Primary School from 1967 to 1984 and went on to Katoke Seminary in Biharamulo for his secondary education from 1975 to 1977 before relocating to Lake Secondary School in 1977 and completing in 1978.He joined Mkwawa High School for his A levels in 1979 and completed 1981 and that same year he joined Mkwawa College of Education for a Diploma in Education (Sc.) Chemistry, Mathematics and Education.In 1985 he was enrolled at the University of Dar es Salaam where he graduated and earned a B.Sc Ed. (Hons) in Chemistry and Mathematics in 1988 and went to earn a Masters Degree in Chemistry from both the Universities of Dar es Salaam and Salford in the UK in 1994. He currently holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam." Kwahiyo siyo kweli kwamba hajatoka nje ya nchi!
and whats wrong with that .....if I may ask mkuu? wacha tupate uzoefu mpya and he has not yet disappointed me!sijasema kama anawakimbia sababu ya lugha bali anataka kuwaonyesha wazungu kuwa sisi ni masikini jeuri hatuwahitaji kivile which is wrong
Hilo ndo LA msingi yeye atakuja na strategy gani kulivusha taifa sio kusema eti kwenda nje exposure ndo itatusaidia. Kwanza ka taifa tunajiendea tu bila kuwa na vision ya kutufikisha certain stage matokeo yake kila raisi akiingia anakuja na ya kwakwe.ndo mana vtu haviendi.Ok lets assume ur right..Sasa ni mfumo gani kaja nao wenye lengo la kuitransform hii elimu yetu ili tuwez kuzalisha hao wataalam competitive na innovetors kama walivofanya wenzetu Singapore...
Je ni Elimu bure?,kutumbua majib without purpose?..au unamaanisha nini labda?
Kama exposure ndio chachu ya maendeleo Mzee wa Msoga angekuwa ametuweka katika nchi ya uchumi wa kati ila hakika na kwambia uhitaji exposure ili ulete maendeleo unaitaji ujue majukumu yako ni yapi kama RAISI na umejipanga vipi kutimiza ahadi zako kwa wananchi yani mikakati yako, commitment yake kututumikia sisi ndio tunaitaka na uchu wake wa kuleta maendeleo siamini eti kukosa exposure ni mzigoKatika sifa kadhaa za mgombea urais kwa tiketi ya ccm huwa ipo ya awe na uzoefu wa masuala ya kimataifa.
sifa hii kwa JPM ilifumbiwa macho,
Nyerere baada ya kusoma nchini alikwenda makerere Uganda na baadae uingereza kunoa Bongo mwinyi alishawahi kukaa Misri ubalozini kwa miaka kadhaa,Mkapa ndio usiseme canada na marekani amekaa sana,JK ziara zake nje ya nchi akiwa foreign affairs minister kwa miaka kumi na miaka kumi ya urais wake ni sawa na kukaa nje miaka mitano,(siungi mkono,it was too much)
JPM alikanyaga Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1984 alipokuwa anakuja kujaza fomu ya kujiunga na UDSM,tangu hapo hajawahi kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi mmoja Amezunguka vichochoro vyote vya Tanzania alipokuwa waziri wa ujenzi akikagua barabara,kazi aliyoiweza kuliko mawaziri wote tangu uhuru .
Back to the point,mimi nimezaliwa Dar Es Salaam na enzi za ujana wangu nilikuwa najiona mtoto wa mjini sana ila siku nilipokanyaga Manhattan mwaka 2002 nilijiona ni mshamba sana kila kitu nilikiona ni kipya na tangu siku hiyo nikajua Dar Es Salaam sio jiji bali ni mji tu.
Wazungu wanakitu wanaita exposure , huwa ni shule tosha kwa tuliosoma zamani tunajua ,mtu wa mtwara kuchaguliwa sekondari wilaya ya Ngara japo kwa upande mmoja ilichangiwa na uhaba wa shule ila ilitusaidia sana,kwa sasa kuna wanafunzi wanazaliwa ndani ya wilaya x,primary mpaka sekondari anasomea ndani ya wilaya hiyohiyo na chuo cha ualimu hapo hapo na anakuja kufundisha shule ndani ya wilaya hiyohiyo ,huyu anakosa exposure atakuwa mshamba tu.
Pia kwa waliopitia vyuo vikuu vya Tanzania mtagundua kuwa lecturers walipata elimu yao nchini bila kwenda nje ya nchi huwa wanakamata sana wanafunzi wakati wa mitihani kuliko walimu waliosomea nje.(sina uhakika kama kutumbua majipu yanhusiana na kukosa exposure )
JPM anasema anataka Tanzania iwe nchi ya viwanda sasa nashangaa itakuwaje nchi ya viwanda wakati anawakimbia wazungu ambao ndio wenye technology ya viwanda,kama hadi pampas za watoto tunaagiza tukubali hatuwezi kujenga viwanda bila kuwa karibu na wazungu,awakaribishe wakae mezani waongee dili win win based business,wanatuhitaji pia bado tunawahitaji,ndio maana Nyerere na kuwatimua kote waingereza alifia kwao akukubali kufia Muhimbili
Pia JPM amekaliliwa akisema Dar ndio kioo cha Tanzania ndio maana anataka kujenga daraja toka cocobeach mpaka ocean road,hii ni kukosa exposure,nchi za watu maendeleo huwa yanakuwa balanced na pia fursa zinakuwa balanced kila sehemu kupunguza msongamano wa watu kwenye miji fulani,kuna baadhi ya nchi watu hawataki kuishi miji mikuu kwani fursa ziko kila kona,Juzi tumesikia kuwa Obama atakuwa rais wa pili wa marekani kuishi washngtone baada ya kustaafu na hii ni kwa sababu watoto wake bado wapo shule,other wise angerudi kwao chicago,JK wakati anakabidhi ikulu na kutuaga kuwa anarudi kijijini helicopter ilimpeleka Msoga mchana jioni akarudi nayo Dar.
Tanzania sio Dar tu
Pia exposure inasaidia kuimprove lugha za kigeni,hili sitaki kuliongelea sana hapa nisije kuchafua jukwaa
Du hadi uvaaji? Sikuwahi kuwaza wala kufikiria haya mambo,kumbe avaaje? Unaweza ukashauri.kwa aina ya uvaaji wake, uzungumzaji wake na hata style yake ya kazi ameanza kwa kufeli time will tell

Wewe akili nyingi zinazidi kichwa chako , hongera

Una IQ ya mende kama unategemea kwamba kila mtu ataitikia NDIYOOOOOO! kama majuha ya ccm bungeni; isome namba kama wimbo wenu wa kejeli; mlimchagua wenyewe!!A very good article ila wachache watakuelewa.tegemea nosenses kutoka kwa wale bendera kufuata upepo.Good job
Jamaa linafiki ilo aisee,