Mabeberu Sasa yanatudhihaki lakini Mungu wetu mkuu, atanyanyua Tena mtetezi mwingine.
Nawaambia nyie mabeberu na makuwadi wenu hamtaitawala hii nchi milele.
Tanzania sio ya kwenu.
Umeanza ujingaModerators wa Jamiiforums ondoeni uzi huu...hauna faida kwa nchi hii
Mwenye roho mbaya ni yule aliyelala umauti ChatoHUMU WAMEJAA WATU WENYE ROHO MBAYA,,,wengi ni chadema wanajifuta machozi na kutiana faraja baada ya kukosa kila kitu, msijar ninyi kuja kuongoza nchi sahau
Tulia mkuu.Ila alikuwa muongo.😝😝😝😝Aliposema nitawajengea flyover Dsm ni muongo! Aliposema nitajenga mji wa serikali Dodoma! Aliposema tutajenga mtambo wa umeme rufiji ni muongo! Alposema elimu bure ni muongo. Tusidhalilishe hayati haitusaidii sana kimaadili. Tuwe na kiasi kwenye kauli sote ni waja wake.
Legacy kwisha ,kwisha kabisa ,,,chali , kifo cha Mende...!Leo mnamkataa mtu wenu? Wakati mlikuwa mnamshabikia kila uchao.
Ni lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?
Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
😂😂😂😂😂😂😂aliwahi kuokota vichwa vya treni
Nyuzi kama hizi huwezi mkuta mtu mwenye akili zake kuchangia upuuzi wa kijiwe cha BAVICHA yaan, yaani jukwaa lolote ni kundi moja wakifurahishana ushunwada yaanNi lini mishahara ililipwa tarehe 15 au 20 ya mwezi unaofuata?
Mimi sikumbuki aisee kwenye utawala wa Kikwete sikumbuki nasisitiza kama kuna mtu anakumbuka aniambie.
View attachment 1831163
mungu wenu anawanyanyulia chatoMabeberu Sasa yanatudhihaki lakini Mungu wetu mkuu, atanyanyua Tena mtetezi mwingine.
Nawaambia nyie mabeberu na makuwadi wenu hamtaitawala hii nchi milele.
Tanzania sio ya kwenu.
Tulia dawa ikuingieModerators wa Jamiiforums ondoeni uzi huu...hauna faida kwa nchi hii
Tulifika pabaya Sana aisee upati teuzi,ajira,bila kuimba kwaya.Kama we ni wa kaskazini sahau kabisa kuajiriwa.
DPP alishindana makusanyo na TRA
A disasterMarehemu was axis of evil.
Hii kaliHuyu si ndiye alituambia kitambulisho cha machinga wanaweza kukopea hela benki
Wakati
Hakina
Jina
Signature
Picha
Wala makazi au malazi
Alikuwa bingwa wa utapeli na uwongo