Magufuli alikuwa muongo sana


hahaha unaumia ama? kwan IMF walisemaje walivokuja apa?
 
Hakuna Rais aliyekuwa muongo na tapeli kama Nyerere. Shida humu tumevamiwa na watoto+vilaza mnaochagua kusikiliza yale mnayoyapenda.
Mada inamuongelea Magufuli, wewe unaleta stori za Nyerere! Si uanzishe uzi rasmi wa kuongelea huo uongo wake?

Unatuaibisha bhana watu wazima wenzako kwa kutoka nje ya mada kirahisi namna hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…