Magufuli aleta daraja kigamboni

Magufuli aleta daraja kigamboni

Hatimae serikali kupitia wizara ya miundombinu,imedsaini mkataba wa ujenzi wa daaraja la kigamboni lenye urefu wa kilomita 4,2.
Mradi ambao utafadhiliwa na NSSF kwa asilimia 60 na serikali kwa asilimia 40,na utatekelezwa na kampuni ya china railways kwa ushirikiano na crje kutoka china pia.
Mradi utatoa ajira za kudumu zipatazo 1000 kwa wazawa kwa muda wa miaka mitatu. Na unatarajiwa kuanza tarehe mosi mwezi ujao,
MAONI YANGU
Serikali ya ccm imeepusha au kuupooza mgogoro uliokuwa unaendelea kati ya magufuli na wabunge wa dsm ambao wengi ni kutoka ccm

Hakuna tena kupiga mbizi sasa......
 
Tanzania kazi kweli, ccm ndo inaanza kampen zake hivyo. Mkataba ni wa miezi 36 yaan miaka mitatu so hadi linaisha ni 2015, kwenye kampeni utasikia serikali ya ccm imejenga daraja la kigamboni.
 
Back
Top Bottom