kwa hiyo kashfa iko wapi hapo? si usubiri ufafanuzi wa waziri wakati wa majumuisho
Acha kuingiza siasa kwenye kila kitu wewe, umewekewa data hapo za dummy projects wewe unaleta habari za kugombea urais. Ndio zenu maCCM kila kitu mnasingizia siasa huku mnakwapua kweli na nchi inazidi kudidimia kwa umaskini. Nakushauri uje na hoja kuonesha kuwa hizo hela hazijaibiwa kama ripoti ya CAG inavosema na sio kukimbilia kwenye siasa na kuchafuana. Data hukanushwa kwa data sio maneno we mngoni!sure mkuu. kuna watu wanajaribu kumchafua kwa vile inasemekana akawa mgombea urais wa 2015. makandarasi wanamkoma
huu ni uzushi, hakuna ukweli wowote hapo...hizi ni takwimu za kupakana matope na hazitafanikiwa
Hii imetoka kwenye hotuba ya kambi ya upinzani. Sehemu hii inaonyesha ubadhirifu wa fedha kwenye wizara iliyooko chini ya Dr John Pombe Magufuli.
Mheshimiwa Spika,baada ya fedha hizi kupunguzwa kiasi cha shilingi bilioni 95 na kupelekwa wizara ya uchukuzi zilibakia kiasi cha shilingi bilioni 252.975 katika kifungu hiki, leo tumelazimika kulikumbusha Bunge kuhusiana na suala hili kwani kwa mujibu wa ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ya mwaka husika wa fedha kuhusiana na kifungu hiki alisema, naomba kunukuu "malipo ya madeni ya mwaka wa nyuma yaliyolipwa kwa fedha za 2011/2012 kwa kutumia jina la mradi usiohalisi hs.252,975,000,000.
Ukiongeza na 29bilioni za Presidential Delivery Unit - Kitengo kipya chini ya Rais utagundua na kupata jibu lini maisha bora kwa mtanzania yatapatikana.
Pamoja na madudu hayo majamaa wale wa Kijani bado watasema ndiyooooooooo.............! alafu mama Mkubwa(Spika) atamaliza na nadhani waliesema ndiyooooooooooo......... wameshinda.
Sanaa ya namna hii kusema kweli ni Aibu kubwa kwa watu wanaotaka kuitwa waheshimiwa .
Uwizi huu wote una mambo makuu matatu.
1.Uchaguzi serikali ya Mtaa 2014
2.Kustaafu kwa vigogo kadhaa 2015.
3.Uchaguzi mkuu 2015
Vote 98: Ministry of Works
Payment made through dummy project worth Shs.252,975,000,000
The Ministry paid a sum of Shs.252,975,000,000 through unspecified project with dummy code No.4168. It was alleged that this amount was used to pay previous year's
contractual liabilities for projects which were implemented by TANROADS. However, we were not provided with a detailed analysis of these liabilities. In addition, the amount paid was not disclosed as a previous year's liability in the financial statements.
Ina maana Magufuli hakuwa na majibu kwa Vijana wa CAG, ila hapa bungeni atapata majibu maana kule kwa CAG hakuna siasa ila bungeni ni mahala pake
sure mkuu. kuna watu wanajaribu kumchafua kwa vile inasemekana akawa mgombea urais wa 2015. makandarasi wanamkoma
huu ni uzushi, hakuna ukweli wowote hapo...hizi ni takwimu za kupakana matope na hazitafanikiwa
Jmn........hadi Mr MAKUFULI!!!!?
Hata hivyo mimi huwa sina imani na Magufuli,naona ni mpiga kelele tu,na siku hiz kaharibika zaidi,ni mpigaji tu nae.
ni bora kuhangaika na mengine kuliko kupoteza muda kumchafua mtu asiyechafulika
Makufuli sio wakuaminika hata siku moja ,angekuwa ana waledi wa uadilifu angetoka magamba ili aweze kuwarekebisha wenzie tokea enzi za Mkapa . Ila kwa kuwa ni mchumia tumbo anakichanga kama wenzie wa magamba
Hakuna msafi kwenye Chama cha Majambazi. "Bhose maji ga-nyanja!"