Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,433
- 139,500
Ni wale wale ambao tundu lisu husema serikali Ina majaji na wanasheria wabovu
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa mahakama ya Tanzania imeamuru serikali kuwasilisha mahakamani zaidi ya bilioni 2 kama fidia ya samaki maarufu kama samaki wa Magufuli.Hii imetokana na serikali kushindwa kesi hiyo iliyounguruma kwa mda mrefu,Swali la Kizushi:Hivi kwa nini serikali "haishindagi" kesi kubwa kubwa
katika auditing huwa tunaamini kuna kila dalili serikali huuza kesiLeft, rght and centre. . . . . . . . . . .defeated!!
ongea na mods basi,btw Mr.Misifa ni Dr.MagufuliKwa nini hii thread ibandikwe kichwa Mr Misifa.... Huyu ni nani? Kama hoja ni kuhoji sababu za serikali kushindwa kila kesi hata zile zinazoonekana nyepesi kwa nini kichwa cha thread kisionyeshwe hivyo tangu mwanzo?