Magufuli aitia Wizara hasara ya Bilioni 2

Magufuli aitia Wizara hasara ya Bilioni 2

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,073
Reaction score
134,453
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa mahakama ya Tanzania imeamuru serikali kuwasilisha mahakamani zaidi ya bilioni 2 kama fidia ya samaki maarufu kama samaki wa Magufuli.Hii imetokana na serikali kushindwa kesi hiyo iliyounguruma kwa mda mrefu,Swali la Kizushi:Hivi kwa nini serikali "haishindagi" kesi kubwa kubwa
 
Mahakama zenyewe hizi hizi zinazopokea kila kitu??

Mimi binafsi naamini kabisa kuna shida ya wanasheria wetu wa wizara kuwa legelege, mahakama kuwa corrupt na wafanyabiashara kutumia mianya ya corruption kufanikisha mambo yao... kibaya zaidi siku hizi wanasiasa hasa wa chama tawala wamekua ni madalali wakuu wa wafanyabiashara kwenye kununua haki

I find it difficult kwamba hii kesi bado ilikua inanguruma wakati wale jamaa walikua hawana vibali vya kuvua samaki kwenye maji ya Tanzania

Anyway, tutapigwa hadi tutie akili na tuamue kusimama kwa ajili ya Tanzania
 
Left, rght and centre. . . . . . . . . . .defeated!!
 
kama hakimu anahongwa na Rugemalila milion minne anapokea halafu fikiria siku una kesi unaenda kwa rugemalila unamwambia aongee na hakimu haache unoko wake unafikiri hakimu hatakataa
 
Hapo ndio nashindwa kielewa serikali, wale jamaa walikamatwa na taratibu zilifuatwa, leo wanashindaje kesi wao? wanahabari wetu wangekwa wapekuzi tujue a ya kesi husikamazingir
 
Ni wale wale ambao tundu lisu husema serikali Ina majaji na wanasheria wabovu

ndio maana hata sikushangaa mwanasheria mkuu kuchaguliwa yule masaju maana nae ni dizaini hiyo hiyo
 
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa mahakama ya Tanzania imeamuru serikali kuwasilisha mahakamani zaidi ya bilioni 2 kama fidia ya samaki maarufu kama samaki wa Magufuli.Hii imetokana na serikali kushindwa kesi hiyo iliyounguruma kwa mda mrefu,Swali la Kizushi:Hivi kwa nini serikali "haishindagi" kesi kubwa kubwa

Kwa nini hii thread ibandikwe kichwa Mr Misifa.... Huyu ni nani? Kama hoja ni kuhoji sababu za serikali kushindwa kila kesi hata zile zinazoonekana nyepesi kwa nini kichwa cha thread kisionyeshwe hivyo tangu mwanzo?
 
Utashinda kama unafanyia taaluma yako kazi na unadhamira ya kweli katika kile unachokifanya. Ikiwa mwanasheria anayesimamia file au kesi husika ni wale ambao akiona bahasha ya fedha hata bila kujua zipo kiasi gani akili yake ina cease usitarjiye kushinda na mbaya zaidi hauna anayehoji kwa kuwa wote ni wamoja. Tumezoea hakuna anayehoji kitu.
 
hiyo hela siyo ya mlango wa nyuma kweli? nina wasiwasi
 
Wanasheria wengi wanapenda kesi kama hiz za serikali maana wana uhakika kushinda ni asilimia kubwa kuliko ya mtu na mtu kwa kuona watamkandamiza mmoja wao ni bora waikandamize serikali ndio maana kesi nyingi za serikali inashindwa ni makusudi tu ya wanasheria ili wale pesa za serikali
 
Kwa nini hii thread ibandikwe kichwa Mr Misifa.... Huyu ni nani? Kama hoja ni kuhoji sababu za serikali kushindwa kila kesi hata zile zinazoonekana nyepesi kwa nini kichwa cha thread kisionyeshwe hivyo tangu mwanzo?
ongea na mods basi,btw Mr.Misifa ni Dr.Magufuli
 
Ndio muelewe kwanini kikwete aliamua kuwapa muda wale wote waliochukuwa hela za EPA warudishe.watu wenye akili kama sisi tulimuelewa lakini wasioelewa walitaka serikali ikimbilie mahakamani.Jk alijua akikimbilia mahakamani hela hairudi na serikali italipa fidia kwa kushindwa kesi
 
... Kesi Serikali Ilishnda, Hizo Hela Zinaenda Ccm Kwa Ajili Ya Uchaguzi Ujao
 
Tanzania court is the second corrupt institution only after Tanzania Police.
 
Tuna safari ndefu sana ya kuelekea kwenye uzalendo.
 
Rushwa imekithiri na uzalendo sifuri..
 
Maccm yanatafuta hela za kuhonga uchaguzi mkuu.

Chama Cha Marushwa CCM
 
Back
Top Bottom