K Kimweli JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 899 Reaction score 231 Aug 28, 2015 #21 Mwendelezo wa CCM fiesta 2015. CCM poleni Sana. Mimi Magufuri namkubali Sana ILA tatizo CCM Tu. Dash Magufuri kura yangu hautaiona kamwe labda uhame CCM
Mwendelezo wa CCM fiesta 2015. CCM poleni Sana. Mimi Magufuri namkubali Sana ILA tatizo CCM Tu. Dash Magufuri kura yangu hautaiona kamwe labda uhame CCM
G'taxi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 6,651 Reaction score 8,686 Aug 28, 2015 #22 HALELUYA MOSHI said: Hahahahaaaa! Mleta mada umeniacha hoi! Mkuu niko mbeya since ujio wa lowasa wa 14/8 ! Ni kweli jamaa anapita sehemu mbali mbali mbeya ila pipo they busy like hakuna wajualo kuhusu Magufuli! Click to expand... Weeee! Acha kudanganya watu
HALELUYA MOSHI said: Hahahahaaaa! Mleta mada umeniacha hoi! Mkuu niko mbeya since ujio wa lowasa wa 14/8 ! Ni kweli jamaa anapita sehemu mbali mbali mbeya ila pipo they busy like hakuna wajualo kuhusu Magufuli! Click to expand... Weeee! Acha kudanganya watu
JAPUONY JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 383 Reaction score 186 Aug 29, 2015 #23 HALELUYA MOSHI said: Ukiona magar na vibendera ndo watu wanauliza kwa kuna nini! Kwa kifupi hakuna mwenye hiyo habar! Unless uniambie hapa kafanyia kiwanja gani whether wilayan au mkoani penyewe! Mbeya nchi! Sugu rais! Huwaambii kitu Click to expand... hadi uone WACHAGGA wenzio ndo unafurahi? Acha ukabila wewe!
HALELUYA MOSHI said: Ukiona magar na vibendera ndo watu wanauliza kwa kuna nini! Kwa kifupi hakuna mwenye hiyo habar! Unless uniambie hapa kafanyia kiwanja gani whether wilayan au mkoani penyewe! Mbeya nchi! Sugu rais! Huwaambii kitu Click to expand... hadi uone WACHAGGA wenzio ndo unafurahi? Acha ukabila wewe!
DIZZO MTAWALA JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 240 Reaction score 769 Aug 29, 2015 #24 Kazomewa Leo kakutana na pipooozi
M Mr Chin JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 4,625 Reaction score 1,024 Aug 29, 2015 Thread starter #25 mgazanyau said: Magufuli kazomewa hivo mbeya ni pm nikutumie video aliyokuwa anazomewa Click to expand... Kwisha Habari yako
mgazanyau said: Magufuli kazomewa hivo mbeya ni pm nikutumie video aliyokuwa anazomewa Click to expand... Kwisha Habari yako