Magufuli aibomoa UKAWA Kanda ya Ziwa

Magufuli aibomoa UKAWA Kanda ya Ziwa

Nafkri kwenye maswala ukanda na ukabila ndo inabd tuanze kuyazungumza hapa hv inakuwaje mgombea urais anaenda mahali akiwa anawahutubia watz wote amabao wamekusanyka mahali pamoja anatumia zaidi ya robo ya mda wake kwa kuongea kisukuma?? Na ukiangalia tz xaa kla mahal kuna mchanganyiko wa lugha zote

very poor arguments kwani alipokuwa tanga alihutubia kisuma? ama hujui kuwa magufuli amekuwa akijitahidi sana kutumia takribani makibala yote?
 
Naona 4u wamelala....wakiamka hii thread itavamiwa kama mchwa..magufyuli oyeeeeeeeeeeeeeeee

Bado wanatafakari jinsi wanavyotumika kupiga deki barabara, kukesha viwanjani, kuleweshwa viroba wakati Mbowe akihamisha mabilioni!
 
very poor arguments kwani alipokuwa tanga alihutubia kisuma? ama hujui kuwa magufuli amekuwa akijitahidi sana kutumia takribani makibala yote?

Una uelewa mdogo xana ndugu angu ebu soma statemt ya mtu vzur halafu ndo uargue uskurupuke xawa???
Skusema salama ebu skiliza vzur mikutano yake ya kanda ya ziwa except alyoikfanya kagera na mara ya mwanza yote karbu zaid ya robo ya mda wake anazungumza kisukima!!!
Sio salamu
 
Back
Top Bottom