Kevoo_keroo
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 771
- 163
shida ya watanzania ni msimamizi tu, sasa hakuna mwenye shaka na magufuli juu ya usimamizi
wananchi wameona ukawa hawana hoja wala ilani inayoeleweka safi sana wana kanda ya ziwa
Walianza ccm yabomoa ngome ya chadema arusha, Kilimanjaro na monduli kasha mambo yakawageuka, endeleeni kudanganyana tu
hakika ni ukweli usiopingika kuwa ukawa hawakuwa na ngome kanda ya ziwa ila kuwanunua na kuwasomba akina masawe ili waongeze nguvu na kuonesha kuwa wana umati mkubwa
wananchi wameona ukawa hawana hoja wala ilani inayoeleweka safi sana wana kanda ya ziwa
MASWALI MUHIMU.
1/Ni vyema ungetuambia kwanza UKAWA waliijenga hiyo ngome lini, na namna ilivyokuwa imara.
2/Pia ungetuambia makada wote wa CCM waliofika kanda ya ziwa kama Mkapa, Kinana, Kikwete, Samia ilikuwaje wakashindwa kuivunja hiyo ngome siku zote?
3/Hii ni mara ya Tatu Magufuli anakwenda kanda ya ziwa kufanya kampeni toka ateuliwe kugombea urais na mara zote anadai imevunja ngome, sasa ni ngome gani hiyo ambayo kila siku inavunjwa lakini inaendela kuwepo?
4/Mwisho ungetuambia pia ni lini CCM itaanza kujenga ngome yake huko kanda Ziwa baada ya kudai kuwa wamevunja ngome ya UKAWA?
Naona 4u wamelala....wakiamka hii thread itavamiwa kama mchwa..magufyuli oyeeeeeeeeeeeeeeee