makoko jumanne
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 584
- 164
ngome ya ukawa katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa imebomolewa kwa kishindo na mgombea urais wa ccm Dkt John Pombe magufuli zikiwa zimebaki takribani siku nne kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba 25 kote nchini hali inayompa nafasi kubwa mgombea huyo kushinda katika uchaguzi huo kwa kile kinachodaiwa ni kuungwa mkono na watanzania wengi,mijini na vijijini,wazee kwa vijana wanamuunga mkono mgombea huyo kwa kile walichodai kuwa ni mzalendo na mchapakazi.