nyachina
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 451
- 810
Hali ni mbaya kwa mgombea wa ccm John Magufuli huko morogoro.
Pengine maandalizi mabovu ama laa ila watu ni wachache ktk mikutano yake wa leo.
Hatari kubwa.
Naona macho yako yana makengeza au yametiwa upofu na ukawa.