MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,375
- 50,765
Shirika la mapato Tanzania (TRA) linapoteza hela nyingi sana kwa ajili ya mapungufu ya mfumo wanaoutumia leo. Sasa rais wao ameona ili kurekebisha hilo, itabidi awaagize wataalam wa ICT kutokea Rwanda waje na maujuzi yao.
Ndugu zetu Wabongo huwa wanalipuka sana wakiona makampuni yao yanaagiza wafanyi kazi kutokea nchi jirani kama Kenya. Wenyewe wanakua hawajui sababu za Mtanzania mmiliki wa kampuni anakubali kuingia gharama ya kulipia Mkenya/Mnyarwanda/Mganda kibali cha kazi, gharama za nauli ya ndege, gharama za hoteli na pia ada ya kazi licha ya kuwepo Wabongo ambao wanajishebedua kuwa na uwezo wa kufanya hizo kazi.
Ni swali la msingi la kujiuliza na mjirekebishe, muache chuki zenu dhidi ya Waafrika wanaoalikwa kuja kufanya kazi zenu. Wenye makampuni wanaagiza kutoka nje kwa sababu za msingi tu. Leo hii hata rais wenu kaagiza kutoka kwa nchi jirani. Najua mtaibuka na kuanza kulialia, lakini nashauri mkae na kujiuliza wenyewe.
Taarifa kamili hii hapa
New tax collection system to curb theft
Barbarosa