Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,319
Hahahahaaa hata sijui kwanini ila nimecheka sanamagufuli asipokuwa makini atasababisha mgogoro na rais Uhuru Kenyata...Haya mambo ya urafiki na wapinzani wa serikali sio mazuri kabisa..Kesho Uhuru Kenyata akianzisha urafiki na Maalim Seif itakuwaje