Magonjwa ya zinaa yaitesa Marekani

Magonjwa ya zinaa yaitesa Marekani

Vyamavingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
6,051
Reaction score
5,952
Waungwana, nimesoma habari ya kushangaza kwenye Gazeti la Mwananchi, leo 10 Okt. 2014.

Ni kuwa, Marekani [US] hivi sasa ina jumla ya maambukizi milioni 110 ya magonjwa ya zinaa [STDs], na kuwa kila mwaka kuna maambukizi mapya milioni 20.

Hii habari imenishitusha sana maana nchi ya Marekani ina watu kati ya 300-400 hivi; maana yake ni kuwa zaidi ya asilimia 25 ya Wamarekani wanugua na magonjwa ya zinaa!

Chanzo: Mwananchi, 11 Okt. 2014
 
Na sitashangaa nikisikia wanaoshika chati ni blacks...

Kuna habari nilisoma kama nakumbuka ni toka kwa Human Rights Watch kuwa machangudoa huko wanatumia mifuko ya rambo...nilichoooka...
Ni kwa sababu uchangudoa hauruhusiwi kisheria..na mwanamke akikutwa na idadi kubwa ya condom kwenye pochi basi ni ushaidi kuwa ni changudoa...yani polisi wanapekua mapochi ya wadada watembea usiku kuona kama ni machangu au la...wakaona isiwe shida...wanatumia mifuko ya rambo...how...sijui...ila nilipokuja sikia na Moshi ni same (wao ni sababu ya kuokoa gharama) nikaona basi kuna ukweli

Sasa wanaharakati wa haki za binadamu walikuwa wanalaumu sheria mbovu kwa kuchangia kuongeza maambukizi ya HIV kwa machangu (of course na wateja zao)...
 
Umesema marekani ina watu mia tatu hadi mia nne(300-400) alafu maambukizi ni mil 20!?
Bado sijaelewa
 
nyumba kubwa

Mkuu kuhusu blacks you might be right, machangu is one thing and then kuna ile kitu, "down low" among brothers, married and single. I think this's worse than picking up a girl in the street.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa kama vile Tanzania ina nafuu!

Na sidhani Tanzania unahitaji hata kufanya utafiti kujua ni asilimia ngapi ya watu wana magonjwa ya zinaa.
 
Si tushazoea matatizo yote ya dunia hii...; hakuna jipya na hata ukisema uandike hakuna atakaye stuka...ila likija suala la ulimwengu wa kwanza ...lazima li make headlines...

Hahahaaa kama vile Tanzania ina nafuu!

Na sidhani Tanzania unahitaji hata kufanya utafiti kujua ni asilimia ngapi ya watu wana magonjwa ya zinaa.
 
Back
Top Bottom