Magonjwa ambukizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magonjwa ambukizi

Discussion in 'JF Doctor' started by KAKA A TAIFA, May 20, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  MAGONJWA YAFUATAYO NI HATARI MAANA YANAAMBUKIZWA KUTOKA KWA BINAADAMU KWENDA KWA WANYAMA NA WANYAMA KWENDA KWA BINAADAMU.=1=KIMETA (ANTHRAX), =2=KIFUA KIKUU(TUBERCULOSIS/TB), =3=BRUCELLOSIS, =4=MINYOO YA WANYAMA(CYSTISECOSIS), =5=MAFUA YA NGURUWE(SWINE FLUE), =6=HOMA YA NGURUWE(SWINE FEVER), =7=MALALE(TRYPANOSOMIASIS), =8=SALMONELLA, =9=KICHAA CHA MBWA(RABIES).LEO NITAZUNGUMZIA KIMETA.UGONJWA HUU UNAAMBUKIZWA SANA NGOMBE ,MBUZI,KONDOO,NGURUWE.MARA NYINGI MNYAMA HAONYESHI DALILI NYINGI,ILA ANAPATA HOMA KALI NA KUFA HARAKA.KAMA AMECHINJWA KWA BAHATI MBAYA DALILI ZIFUATAZO HUJIONYESHA.DAMU HUWA NYEUSI MITHILI YA LAMI NA HAIGANDI,HAPATI MKAKAMAO(RIGORMORTIS),NA VITU KAMA MAINI,FIGO,MAPAFU,MOYO.MAINI,UTUMBO NK HUWA NA MABADILIKO YASIYO KAMA KAWAIDA YA MNYAMA ALIYECHINJWA.KWA MNYA AMBAYE ATAKUWA AMEKUFA GHAFLA UTAONA DAMU ZIKIMCHURUZIKA KUTOKA KATIKA MATUNDU YOTE YALIYO WAZI MWILINI NA DAMU INAKUWA NYEUSI KAMA LAMI NA HAIGANDI .KWA KAWAIDA HAIRUHUSIWI KUMPASUA MNYAMA MWENYE DALILI NA KUFA KIBUDU KAMA HUYO.TAHADHARI ZAKUFUATA NA PAMOJA NA KUCHIMBA SHIMO REFU KAMA MITA SITA MPAKA KUMI NA KUMFUKIA HUKU UKIWEKA CHOKAA AU MAJIVU JUU YA SHIMO HILO.NA PALE ALIPOFIA MWAGA CHOKAA AU MAJIVU MENGI UKIFUATA PIA SEHEMU YOTE ALIMOPITISHWA KWENDA KUFUKIWA.KINGA YA UGONJWA HUU IPO HIVYO NI VYEMA WANYAMA WAFUGWAO WAKAPEWA CHANJO NA MADAKTARI WA MIFUGO.KUTOCHUNGA MIFUGO KARIBU NA MBUGA ZA WANYAMA PORI.USILI NYAMA YA MNYAMA ALIYEKUFA KIBIDU KWA AFYA YAKO.ASANTENI KARIBUNI PIA:ban::deadhorse::llama:
   
Loading...