Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,454
- 32,980
Ikiwa unaona ni pumba huna sababu ya kusoma na kujibu.Kumbe hizi pumba hazijàisha tu?
Mna...Kumbe hizi pumba hazijàisha tu?
Ikiwa unaona ni pumba huna sababu ya kusoma na kujibu.
Hapo chini ni historia ya babu yangu Salum Abdallah (Mzee Rashid)muasisi wa TANU Tabora na muasisi wa Tanganyika Railways African Union (TRAU) 1955:
View: https://youtu.be/EqsoQp475ec?si=t1HJZ19fo8H8x5wT
Ikiwa unaona ni pumba huna sababu ya kusoma na kujibu.
Hapo chini ni historia ya babu yangu Salum Abdallah (Mzee Rashid)muasisi wa TANU Tabora na muasisi wa Tanganyika Railways African Union (TRAU) 1955:
View: https://youtu.be/EqsoQp475ec?si=t1HJZ19fo8H8x5wT
We unashida gani?Huyo babu yako ni mjinga
NikuoeWe unashida gani?
Mnachi...Huyo babu yako ni mjinga
Father...Du. mwanangu Mohamed, huchoki kujipost na issue ile ile!!!!😳😳😳😳😳😳
Hakuna cha kutesa bali udadisi mwanangu. Ukiona napita, jua kuna madini natafuta. Isitoshe, mie si kijana tena wa kuhamaki zaidi ya kutaka kujua hata kama kuna mengi nayajua ambayo si historia. Eti historia inichome moyo!! Si mie wala si mtu wa kutetea mambo ya watu wala kuyapigia upatu walioyashobokea kiasi cha kujisahau. Mie ni Father of All sipaswi kuchukia wanangu bali kuwaelewa na waelewacho. .Father...
Sichoki na sababu kubwa ni vyombo vya habari havipungui Maktaba kunihoji.
Hawa ni TBC 1.
Siku watakapoacha nami nitapumzika In Shaa Allah.
Kuhusu issue.
Si Kila mtu anakuwa keshasikia mathalan historia ya Dr. Kweggyr Aggrey na Kleist Sykes katika kuunda African Association 1924.
Nikiulizwa siwezi kujibu kuwa nishaieleza historia hiyo.
Naanza kutoa darasa upya.
Vipi ndugu yangu.
Historia hii inakuchoma moyo?
Ikiwa huipendi historia hii huna haja ya kufungua post zangu.
Delete au pita wima.
Kwenye hii mitandao kujitesa utake mwenyewe.
Father...Hakuna cha kutesa bali udadisi mwanangu. Ukiona napita, jua kuna madini natafuta. Isitoshe, mie si kijana tena wa kuhamaki zaidi ya kutaka kujua hata kama kuna mengi nayajua ambayo si historia. Eti historia inichome moyo!! Si mie wala si mtu wa kutetea mambo ya watu wala kuyapigia upatu walioyashobokea kiasi cha kujisahau. Mie ni Father of All sipaswi kuchukia wanangu bali kuwaelewa na waelewacho. .
Vijana wa 2000 mna nongwa sana, mheshimu babu yako kijana.Huyo babu yako ni mjinga
Vishu...Vijana wa 2000 mna nongwa sana, mheshimu babu yako kijana.
Sawa vyovyote iwavyo haifai kukupa maneno yasiyofaa ilhali wewe hujafanya hivyo kwake.Vishu...
Nafasi yangu hapa ni ya baba.
Watoto wa huyu mimi ndiyo babu yao
Huyu kwangu ni mwanangu.
Vishu...Sawa vyovyote iwavyo haifai kukupa maneno yasiyofaa ilhali wewe hujafanya hivyo kwake.
Acha hizo wewe nani awe mwanao?Vishu...
Nafasi yangu hapa ni ya baba.
Watoto wa huyu mimi ndiyo babu yao.
Huyu kwangu ni mwanangu.