rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,522
- 42,016
Rambi rambi fc ni mikia,walilipata hilo jina baada ya kula rambirambi ya mafisango we mama,goli walilokataliwa jana alliance ndio alilofunga boco leo likakubaliwa,ni clear offside lkn yule mwehu kajifanya kubania kibendera chiniJana madogo wanabaniwa dhidi ya Rambirambi fc hukupost k2. kila gem ya simba ichunguzwe na zen vipi? hamkupewa penalt ya uwongo jana japo hamna mfungaji?
Na goli mlilofungwa nyie ombaomba fc na simba basi tufanye lilikuwa offsideRambi rambi fc ni mikia,walilipata hilo jina baada ya kula rambirambi ya mafisango we mama,goli walilokataliwa jana alliance ndio alilofunga boco leo likakubaliwa,ni clear offside lkn yule mwehu kajifanya kubania kibendera chini
Mechi ambayo inabidi ichunguzwe ni dhidi ya Chura. Kwani cross ya Bocco unaona kabisa Vincent Chifupe anaukwepa mpira huku Abdalla Shaibu na G. Paul wakimwachia wazi wazi Kagere afunge kwa free header.
Timu zingine zilizofungwa na Simba at least zilijitahidi kucheza mpira.
Chura alipaki basi na kufurahia kufungwa
kimoko halafu analaumu wenzake.
Kingine kinachobidi kuchunguzwa kwanini wapenzi wa Chura wanafanya maandamano ya kusheherekea kufungwa kimoko na Simba.
Ujinga ni maradhi. Pukachaka.
Hapo kabla ilikuwa,
Tenga-Yanga.
Mwakalebela-Yanga
Athumani Nyamlani-Yanga.
Rais Kikwete- Yanga.
Lakini huwezi kuamini Yanga ilipigwa bao 5-0 mbele ya vigogo wote hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulianza kununua ya Vyura.Tukaendelea ya Lyon,Azam,Lipuli hadi Stand United. Kila afungwae amenunuliwa?Simba hivi sasa ni mwendo wa kununua mechi tu dah kwa hali hii soka la bongo tutasubiri sanaa.