Magogoni

kama hii ndo kamati ya uteuzi namashaka nayo sana
 
Mbona mr edo simuoni hapo au kauli ya nape ndo imeshaanza kufanya kazi?
 
Mbona kiatu ni kikubwa, kweli hata mvaaji wa sasa kinamtosha au kinapwaya!?
 
Duh kazi ipo maana kila mtu anahisi kiatu kinamtosha
 
wengine watakata visigino na vidole,... wengine watachonga mguu wa bandia

Duh! yani lazima kifit kwa nguvu, ha ha haaaaa!!! Eti yule mweusi sana anaitwa nani vile? Nimesikia eti nae anautaka uraisi. Kazi kwelikweli
 
Sasa Mbona hawajavaa hata suruali huko chini?? Au wanawanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…