Magororo tu kama mengine, ila spring zake ni za plastic
NI MAZURI KWA MGONGO KWELI NA SIO UONGO ,.NA HATA KWA KUFANYIA MAPENZI ,..HUKU NIMETUMIA MIAKA KIBAO,.NI TOFAUTI NA SPONJI ZETU ZA BONGO,..,kama spring zake ni za plastic basi ni maendeleo
beleave me Ion and steel are expensive.,../
kila mara nikiingia bongo likizo ,marafiki zangu na jamaa wamekuwa wananishambulia kuhusu vitu vya China.,.lakini jibu ni moja tu.,.Je ulikinunua hicho kitu kwa SH,.ngapi?,.MFANO DVD,.inayouzwa kwenye electronic shops,.Say samsung CHINA ,.au sonny bei iliyo ya chini ni 60 us$.,na kiwanda kipo mji huo huo..na
guarantee ni miaka minne ,.
lakini ukizungukia maduka mengine zipo za dola 20 mpaka 30,.na kabla ya kununua ,.muuza duka anakuambia ungependa kuitumia kwa siku ngapi?na anakuchagulia yenye siku zinazokaribiana na ulivyosema ,..lakini at your OWN risk,..
sasa tutue akili duka la kampuni linauza kwa dola 60 $,.bongo bidhaa hiyo hiyo ni elfu thelathini,.we unategemea nini,.na wauza maduka wote ukiwauliza gerentee wanakwambia hamna mzee si mwenyewe unacheki bei..//NENDA KARIAKOO uone.,.
KUNA kampuni INAITWA MIDEA,.NA NYINGINE GREE ,,hizo ni za umeme,.NIlinunua FRIJI , A/c na DVD kutoka KWAO,M hapo hapo bongo,.babu guarantee ni miaka sita,[unapewa guarentee na registration yako ipo online].Nikaweka nyumbani kwa wazazi,.mpaka leo vinadunda huwezi amini huu ni mwaka wa nne,..bila tatizo lolote,,
TATIZO letu wa TZ.,..ni kupenda Brand bila kuuliza guarantee ,.suala ni kujua je unaihitaji hiyo bidhaa kwa muda gani,.vya bei ya chini kuwa makini navyo vingi si vizuri,...
Tujifunze kutofautisha kati ya
Disposable na vitu vya kudumu,..ushauri wa BURE ..,angalia bei ya kitu kwenye NET kabla ya kununua,..JIWEKE fungu la maamuzi ya bei Halafu nenda kanunue,..omba na guarantee la sivyo ndio mambo ,.ya kununua SUTI Disposable kwa bei ya chini halafu baadaye tunalalamika.,.....
tembea uone au jifunze kwa wenzio