Ha ha ha ha, siasa ni maisha, siasa ndo kila kitu, ukiweza kuzicheza vzr bac mambo yako yatakunyokea tu!
Hawa ni magwiji ambao wamekuwa mahili sana ktk kuzicheza turufu zao kwenye siasa zetu wkt wa JK na sasa kwa JPM!
1.Mohammed Dewji!
Huyu jamaa wkt wa JK ni kati ya watu walioshine sana hasa upande wa business japo alikuwa pia alikuwepo kwenye ulingo wa siasa. Huyu jamaa ni sasa ni bilionea na ni miongoni kwa watu ambao hadi sasa mambo yao yanaonekana kunyoka, yaani anaonekana ataendelea kutusua, turufu yake inaenda poa!
2. Mzee Bakhresa
Huyu Mzee naye amekula bata sana kipindi cha JK, ni kama alitaka kuanza vibaya na JPM lkn nadhani alipata washauri wazuri, turufu yake inaenda muruwa kabisa!!
3.Tundu Antipass Lissu
Huyu jamaa anashine mno kwenye nyanja za siasa, aliingia kwa kishindo pale mjengoni, amesumbua wkt wa JK, lkn sasa ndio amekuwa moto, alitaka kukosea karata yake baada ya Mzee wa Richmond kuhamia kwa wana ufipa, lkn nadhani alipata mtu wa kumuweka vzr mapema!
Japo kuwa siyo presidential material, lkn watu wanaanza kudhani anaweza kuwa mtu sahihi kupepererusha bendera ya wanaufipa, kama si 2020 basi 2025!
4.Diamond Platmus( Dangote, Chibu)
Huyu bwana mdogo ameishika vilivyo sana ya mziki huku akiwa na backup ya mkulu aliyepita, media na wanasiasa mbalimbali has a vijana.
Lkn mambo yake yanaweza yakayumba kama turufu yake kwenye mtifuano huu wa RCM Makonda na wanamawingu hataicheza vzr!
5. Home shopping center(GSM)
Wote tunajua walivyokula bata na wanavyoendelea kula bata, siri ni unguli ktk kucheza turufu zao!!
Ha ha ha ha, wazee wa mawingu walikuwa kama wamefanikiwa tena kuitupa turufu zao kabla ya dakika ya mwisho hapo j3 asubuhi Boss Ruge kuitupa kabla ya kujiridhisha kwamba Makonda alikuwa bado anaturufu kubwa zaidi yake!
Nadhani kuna waliomdanganya, au simu za hv karibuni za mkulu zilimuaminisha angechagua upande wao, ukizingatia yaliyokuwa yakiendelea dhidi ya Makonda, nina uhakika Ruge angejua msimamo wa mkulu kabla asingeweza kuwa na ubavu wa kufanya alichofanya!
Anyways, every one has got a price, Makonda anaijua bei ya mkulu, amefika bei!!
Kumbuka chui na ukali wake wote lakini anazaa eti!!