This is real:
kuna sehemu ipo china ambayo inapingana na Laws za Physics. Yaani ukiwa unapanda juu ya mlima(Magic Slope) kutumia baiskeli , BAISKELI INAPANDA YENYEWE BILA HATA KUPIGA PEDAL.
Na ukiwa unashuka lazima upige pedal ndo baiskeli ishuke, usipofanya hivyo baiskeli inasimama.
(i.e. principle yake ni vice versa ya principle tuliyo izoea).
hiyo magic slope imetunzwa na kuhifadhiwakama sehemu ya kitalii.