Magic FM na Salum Mkambala

Papa1

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
2,017
2,208
Sina ubaya wowote, kinyongo na wala sifahamiani na Salum Mkambala wa Magic FM. Lakini nimeshindwa kujizuia kusema kuwa huyu bwana ananikwaza saana nikiwa nafuatilia mijadala mbalimbali katika studio za Magic FM, hasa vipindi vya asubuhi.

Kwanza: Uelewa wake uko wazi kuwa chini ya viwango vya akina Erast Kawau, Kibwana Dachi na Mary Edward.

Pili: Siyo mvumilivu wa kusikiliza asiyoyajua ili aongeze maarifa.

Tatu: Ni mlopokaji na mtu wa kudakia hoja ambazo wala hana uelewa nazo na kutaka kuchangia huku aki - hit off target.

Nne: Anaingilia mlolongo wa mjadala inayokuwa inajadiliwa na kuchomeka vitu tofauti kabisa na hoja iliyopo mezani na kuipindisha kabisa na kutunyima sisi wasikilizaji fursa ya kufika hitimisho halisi la mjadala husika.

Tano: Mbishi tu hata kama hana sababu za msingi za kufanya ubishi huo.

Pendekezo: Mkambala apandishwe cheo akasimamie mausala mazima ya Magic FM, asiendelee kukaa katika meza za majadiliano. A some taarifa za Habari na kutangaza mpira.

Atafutwe mtu mwingine, kijana Mwenye uelewa mithili ya Kibwana Dachi ili aongeze nguvu katika team ya Magic FM, vipindi vya asubuhi. (succession plan ni muhimu).
 
Sina ubaya wowote, kinyongo na wala sifahamiani na Salum Mkambala wa Magic FM. Lakini nimeshindwa kujizuia kusema kuwa huyu bwana ananikwaza saana nikiwa nafuatilia mijadala mbalimbali katika studio za Magic FM, hasa vipindi vya asubuhi.
Kwanza: uelewa wake uko wazi kuwa chini ya viwango vya akina Erast Kawau, Kibwana Dachi na Mary Edward.
Pili: siyomvumilivu wa kusikiliza asiyoyajua ili aongeze maarifa.
Tatu: ni mlopokaji na mtu wa kudakia hoja ambazo wala hana uelewa nazo na kutaka kuchangia huku aki - hit off target.
Nne: anaingilia mlolongo wa mjadala inayokuwa inajadiliwa na kuchomeka vitu tofauti kabisa na hoja iliyopo mezani na kuipindisha kabisa na kutunyima sisi wasikilizaji fursa ya kufika hitimisho halisi la mjadala husika.
Tano: mbishi tu hata kama hana sababu za msingi za kufanya ubishi huo.
Pendekezo; Mkambala apandishwe cheo akasimamie mausala mazima ya Magic FM, asiendelee kukaa katika meza za majadiliano. A some taarifa za Habari na kutangaza mpira.
Atafutwe mtu mwingine, kijana Mwenye uelewa mithili ya Kibwana Dachi ili aongeze nguvu katika team ya Magic FM, vipindi vya asubuhi. (succession plan ni muhimu).

Kuna siku nilimsema hadi kumuanzishia humu uzi mkaniona Mimi ' Hamnazo ' na leo naona mmekubaliana na kile kile ambacho nilikuwa nikikisema dhidi yake. Ipo siku tu mtanielewa GENTAMYCINE ' Purely Talented and Charismatic Fella '.
 
Nadhani wahusika watalifanyia kazi! Japo Morning magic kupitia MAGIC FM ndio radio ya kusikiliza asubuhi, kuna hawa jamaa zangu wa MAWINGU FM siku hizi imekua ya kujadili matangazo tu, yani siku nzima wao ni kuchambua matangazo tu, kama huamini fungulia MAWINGI FM sasa hivi kama hutasikia matangazo!
 
Mini naona kitu tofauti sana kwake. ninachoona ni uchangamfu alionao. pia his a gentleman.....
 
Sina ubaya wowote, kinyongo na wala sifahamiani na Salum Mkambala wa Magic FM. Lakini nimeshindwa kujizuia kusema kuwa huyu bwana ananikwaza saana nikiwa nafuatilia mijadala mbalimbali katika studio za Magic FM, hasa vipindi vya asubuhi.
Kwanza: uelewa wake uko wazi kuwa chini ya viwango vya akina Erast Kawau, Kibwana Dachi na Mary Edward.
Pili: siyomvumilivu wa kusikiliza asiyoyajua ili aongeze maarifa.
Tatu: ni mlopokaji na mtu wa kudakia hoja ambazo wala hana uelewa nazo na kutaka kuchangia huku aki - hit off target.
Nne: anaingilia mlolongo wa mjadala inayokuwa inajadiliwa na kuchomeka vitu tofauti kabisa na hoja iliyopo mezani na kuipindisha kabisa na kutunyima sisi wasikilizaji fursa ya kufika hitimisho halisi la mjadala husika.
Tano: mbishi tu hata kama hana sababu za msingi za kufanya ubishi huo.
Pendekezo; Mkambala apandishwe cheo akasimamie mausala mazima ya Magic FM, asiendelee kukaa katika meza za majadiliano. A some taarifa za Habari na kutangaza mpira.
Atafutwe mtu mwingine, kijana Mwenye uelewa mithili ya Kibwana Dachi ili aongeze nguvu katika team ya Magic FM, vipindi vya asubuhi. (succession plan ni muhimu).
Huo udharirishaji eisee! Mbona mi naona yuko ok? Pale anakuwa anachochea mjadala sio kuwa hajui, yaani anakolezea ili wachangiaji wazidi kumwaga. Mleta mada acha kudhalilisha watu bana. Kama ina mahaba na Mary mfuate tu usitumie hiyo gia kuumbua watu
 
Mkambala Ana ubishi wa kitoto kabisa na Erast kawau Ana muendekeza... For sure mkambala Ana weza kukukata stimu kabisa ya kifuatilia mijadala anajifanya kuwa upande wa gvt while he has nothing in his head apart from ubishi wake utafikiri mkinga
 
Mimi ni mpenzi wa magic fm kipindi cha magazeti na uchambuzi. Kwa kweli mimi kama one of the great thinkers naona kituo hiki kina watu bora kabisa katika uchambuzi wa issues. hata sikushangaa niliposikia kuwa kibwana dachi alipewa kazi serikalini ( kumbe ulikuwa ni utani). Mimi naona tatizo mkuu la mkambala ni kuwa ana mahaba na chama fulani na anaonyesha dhahiri. Hivyo anashindwa kuwa objective (neutral). nafikiri akielezwa kwa dhati ataelewa.
 
Huyu Mkambala ni mtangazaji wa hovyo kabisa, hana uelewa mpana wa masuala mbalimbali lakini bado anajifanya mjuaji na mbishi. Yaani ni zero brain kabisa ukilinganisha na wenzie ktk kipindi cha Morning Magic. Huyu labda akachambue habari za udaku na uswahili swahili ndiyo atafaa lakini siyo habari zinazohitaji maarifa ya hali ya juu.
 
Kibwana dachi anapo zungumza huwa anatema vitu adimu sana. huyo sijui hata alipataje kaz uwelewa wake huko chini mno hata mistar OK pia ila anajitahidi Vila kibwana huwa sifungulii magic. Hata kilumanga kwenye sport hayuko vizuli wampe yule Dogo mwenye jina la kinyakyusa huko vizuri sana.
 
huyu jamaa hata leo asubuhi wakat nafatlia mjadala wao nikawa. nawaz ka ww..yan anaropoka sana...hata ktk point ya msingi..afu mtu wa kuingilia maongez yan he is totaly bored.
 
Mkambala kazi yake nikuchokoza mjadala ili wengine wafunguke..... Wakijadili wote kwa uelekeo mmoja kuna kuwa hakuna maana ya mjadala.

Raha ya mjadala ni kubishana kwa kueleweshana.....mmoja wenu anapoonyesha upeo mdogo ndio utamu wa mjadala unapokuwamepo.
 
Huyu jamaa yaani ni hewa kabisa analazimishia mada hata Asizo zijua...asubuhi hii anataka tuamini yakuwa Shirika la Elimu Kibaha kazi yake nikufanya tafiti za Elimu
 
Huo udharirishaji eisee! Mbona mi naona yuko ok? Pale anakuwa anachochea mjadala sio kuwa hajui, yaani anakolezea ili wachangiaji wazidi kumwaga. Mleta mada acha kudhalilisha watu bana. Kama ina mahaba na Mary mfuate tu usitumie hiyo gia kuumbua watu
Wewe unaweza kuwa umeleta jibu sahihi.

Yaani huo ubishi wake ni kuwachochea wenzie waje na hoja nyingi na nzuri zaidi.

Kusipokuwepo na mtu kama yeye hao wengine hawatajikita ndani zaidi ktk majadiliano.

Hilo suala la kukatiza ovyo hoja za wenzie kwa hoja tofauti na mjadala ajirekebishe.

KUMBUKA:
Wakati mwingine kumkatiza mchangiaji ni kujaribu kusimamia muda wa kipindi.
 
Back
Top Bottom