Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Ipo hewan ile inaskilizwa sana na wana Mbagala,sijui ni kwanini?ha ha leo wamechemsha kabisa...hivi ile redio ya city fm iliishia wapi? radio ya jiji la Dar
Ipo hewan ile inaskilizwa sana na wana Mbagala,sijui ni kwanini?ha ha leo wamechemsha kabisa...hivi ile redio ya city fm iliishia wapi? radio ya jiji la Dar
Umenichekesha sana mdau,metumia tashtiti na lugha ya PICHAUngehamia Tu Matapeli FM Hapo Njia Panda Ya Coca Cola Kwa Muda Uwasikilize Akina Handle, Barabara Sahani Na Taulo Jeusi Na Carpenter Wao!
Umenichekesha sana mdau,metumia tashtiti na lugha ya PICHA