Magic FM hamko makini wakati mwingine, mnatuboa wasikilizaji

nemoo

Senior Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
104
Reaction score
19
Mi ni msikilizaji mzuri sana wa Magic fm hususa ni kipindi cha Kupaka rangi asubuhi nashangaa nafungulia kama kawaida yangu nakutana na shiiiii shiiii shiii hamna saut wakat mwingine watangazaj wanaweza kuwa wanaongea ikakata ghafla..Rekebisheni hilo tatzo mnatunyima vitu wasikilizaji wenu.
 
hta mimi pia niliona hvo leo asubuh!lakini nadhan masuala ya kiufundi njia bora zaidi ni kuwapigia namba zao kuwauliza nn chanzo!!ila kama wapo humu watujibu!!
 
dodoma mbona leo fresh kabisa hapa kawau mery mkambala na jembe dachi
 
Mi ni msikilizaji mzuri sana wa Magic fm hususa ni kipindi cha Kupaka rangi asubuhi nashangaa nafungulia kama kawaida yangu nakutana na shiiiii shiiii shiii hamna saut wakat mwingine watangazaj wanaweza kuwa wanaongea ikakata ghafla..Rekebisheni hilo tatzo mnatunyima vitu wasikilizaji wenu.

Huku Boko hawapo hewan miaka yooooote
 
ha ha leo wamechemsha kabisa...hivi ile redio ya city fm iliishia wapi? radio ya jiji la Dar
 
Nilidhani ni mimi tuu kumbe tupo wengi. Magic FM leo mmetuangusha tatizo nini hasa? Nimejaribu station nyingine nimeishia kuzima radio kabisa. Jirekebisheni.
 
Hata kuku Arusha, Mara nyingi huwa wanakatakata sana.. Mwenye namba za aziweke humu ili tuwapigie kuwajulisha
 
hta mimi pia niliona hvo leo asubuh!lakini nadhan masuala ya kiufundi njia bora zaidi ni kuwapigia namba zao kuwauliza nn chanzo!!ila kama wapo humu watujibu!!

Bob Marley Aliimba " Waiting In Vain ".
 
Back
Top Bottom