Maghembe awa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maghembe awa JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, May 17, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wadau jana Prof. Maghembe aligeuka kuwa kama JK kwenda kutembelea masoko ili kuona bei za mazao, ziara kama hizi zisizo na tija za kutafuta umaarufu zlishawahi kufanywa na JK ambazo mpaka leo hatujaona matunda yake na bei zilizidi kwenda juu sasa sijui waziri tu bei zitashuka?
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ndo mambo ya semina elekezi hayo HOVYOOOOOO KABISA
   
 3. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbawayuwayu
   
 4. M

  MFILIPINO Senior Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waliambiwa na JK ANATAKA AWASIKIA KILA MAHALI "LEO FULANI YUKO ANAULIZIA KILO YA UNGA KESHO MWINGINE ANAANGALIA MITARO YA MAJI ILIVYOZIBA...... NDIYO FURAHA YA MKULU HIYO. HAHAHAHA!
   
 5. T

  Twasila JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Always reactive never proactive.
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huyo Prof. uchwara sio innovative kwahiyo anangoja mpaka mkulu amwambie fanya hivi nae anafanya kama robot vile!! Sasa wameambiwa watembee wasikae ofisini basi kila mmoja wao atakuwa kigulu na njia ; bila kujua kuwa wanatuongezea mzigo sie walipa kodi. Kikwete alitengeneza ile semina elekezi kama matayarisho yake ya kufanya safari za kwenda Ulaya na America; siku si nyingi toka sasa ****** atakwea pipa kwenda kwa Obama!!
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Jamani si wameelekezwa wasikae ofisini. Prof. Maghembe anaanzia sokoni kisha tutamsikia anaungana na wakulima huko mashambani kuona mchakato wa palizi na mavuno!!! Nadhani punde utamuona ikiwa kwenye combined harvester akivuna mahindi na mpunga ili kutekeleza maelekezo elekezi yaliyotolewa kwenye semina elekezi
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,811
  Trophy Points: 280
  ndio kashachanganya na za kwake hivo
   
 9. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tumekubaliana wote sasa muende mkatekeleze ili wasipate hoja za kutubana,msikae kimya jibuni hoja na kukitetea chama cha magamba,sasa ndo wameanza kazi japo wanategeana coz wanaogopa madhambi yao yataibuliwa.tutulie tuone je nguvu ya soda...!
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]


  [​IMG]


  Prof Magembe asiache kuweka sanaa sokoni kidogo!
   
 11. Ruwa tutarame

  Ruwa tutarame Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  itakuwa ndio walivyo elekezwa kwenye semina yao sisi tunataka matendo sio kututembelea
  kwanza semina elekezi si walipewa mwanzoni kama hawaja tekeleza kwanini alie wateua asi wafukuze kazi je anawaogopa?
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Prof Maghembe ni nani? au yule aliyekuwa waziri wa elimu? maana hata akiwa waziri wa elimu alikuwa anatembelea mpaka shule za msingi. Lakini output wote tunaiona kwa kuangalia kiwango cha elimu nchini.
   
 13. T

  The Priest JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Teh teh!japo siyo ya kucheka...
   
 14. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kila kitu ni kukosoa. Hiyo ni sifa ya MAZEZETA. Keep going.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Zezeta habari za siku!
   
 16. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mkuu atasema semina zake zimeanza kuleta matokeo chanya
   
 17. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Ndo maamndalizi ya kugombea urais 2015
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,811
  Trophy Points: 280
  thubutuuu!! huyu si alitengeneza sifuri na div four kibao alipokuwa wizarani? sasa akipewa nchi si ndo itakufa kabisa
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nataka niwassskie,natak niwasskie yo yo ma men!big up maghembzzz, men hit da streetzz men, go platnum meeen!

  Nchi inaendeshwa kisharoba.....bu.
   
Loading...