Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,354
- 18,626
Watu wanao potea sio kashfa, ripoti ya CAG sio kashfa .Deni la Taifa kuongezeka kwa kiasi kikubwa sio kashfa. YOU MUST BE A MORONMaggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa akizunguza Clouds TV
"CCM na Mwenyekiti wao chini ya uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan hatusikii sana masuala yenye kuhusiana na kashfa na hatusikii sana masuala ya ufisadi. Alisema hatakuwa na Mswalie Mtume na wale ambao wanachukua pesa za wananchi. Hayo ndio maneno ambayo wapiga kura wanataka kuyasikia"
View attachment 3391782
Anazeeka vibaya sanaMaggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa akizunguza Clouds TV
"CCM na Mwenyekiti wao chini ya uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan hatusikii sana masuala yenye kuhusiana na kashfa na hatusikii sana masuala ya ufisadi. Alisema hatakuwa na Mswalie Mtume na wale ambao wanachukua pesa za wananchi. Hayo ndio maneno ambayo wapiga kura wanataka kuyasikia"
View attachment 3391782
Halafu amedharauliwa kila mahaliAnazeeka vibaya sana
Huyu namjuwa vzr sanaHuyu ni miongoni mwa Chawa wa kitambo sana!
Alikuwa anaishi Sweden huyu mwana kinondoni mwenzanguHuyu mzee si alkua anaandika magezetini ktambo hiko nilkua namkubali sana,But now ni chawa mchafu…puhhh
Huyu anazeeka uchawa wake. Na yupo humu.Anazeeka vibaya sana
Huko si aliolewa na mzungu.Alikuwa anaishi Sweden huyu mwana kinondoni mwenzangu
Huyu anautafuta uteuzi hana lolote
Ova
Dahh yaaani unakuja kulegeza misimamo uzeeni! Pole yakeAlikuwa anaishi Sweden huyu mwana kinondoni mwenzangu
Huyu anautafuta uteuzi hana lolote
Ova