Magesa akanusha kufuga chatu Nyumbani kwake

Magesa akanusha kufuga chatu Nyumbani kwake

Ukweli anaujua magesa mwenyewe, si sawa kusema kwamba magesa ni mshirikina, naomba kuuliza tuna hakika gani na chanzo cha hii habari? je aliyesema kuwa magesa aliagiza kuwa nyoka asiuliwe kwa kuwa ni mtoto wake wa kwanza alisema kweli?
Utetezi wa magesa unaweza kuwa ni wa uongo hata kama tuhuma anazopewa ni za uongo, kwani anafanya hivyo ili kuficha aibu ambayo ni ya uongo, ama akawa anajitetea kuficha ukweli na aibu.
Kama wafanyakazi tu hawajui kuwa kulikuwa na joka, ina maana ni hiyo ni siri ya magesa.

naona alichanganyikiwa nyoka kutoroka ndani, akaona lazima joka lake life so akaona bora aropoke ili joka lake lipone, japokuwa,cna uhakik km yul nyok ni mtot wake, labda alimfuga kwa ajil ya ushirikina tu
 
Staili hii imenishangaza kidogo. Kuua nyoka mpaka avutwe apelekwe kanisani??
 
Back
Top Bottom