Magereza wamwaga ajira

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
647
Reaction score
565
Habari za nelo waungwana japo ucku mwangaruka bankima na bagosha....kama we ni kidato cha nne au cha sita bac magereza hao wameachia nafasi unaapply vp we zama moha.go.tz
 
na wote watapishwanishwa na vituo waivyojiandikisha maana watakuwa depo
 
kwenye barua ya maombi ambatanisha na laki tano kama corruption
 
Nasikia hakuna kitu kama hicho kinachoendelea Magereza. Ni watu wamezusha kwa kuchukua tangazo la ajira mwaka jana wakalizungusha. Mleta Uzi fuatilia hilo kwa uhakika zaidi.
 
rafiki yangu yuko magereza alinieleza kuhusu hizi nafasi ila nilipomwambia anionyeshe zilipotangazwa alinionyesha za mwaka jana kwahiyo ndugu zangu hizi nitetesi zizokua na ukweli wowote
 
Kama watatoa nafasi zinatoka kwenye website ya magereza be aware
 

acha uongo hakuna kitu kama hicho ni tangazo la mda mrefu na mkuu wa kitengo ameambiwa akanushe habari hii na wenda itakanushwa soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…