Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,934
- 132,482
Naunga mkono hoja. Kwa kadri watu wanavyopigika, ndivyo uhalifu unavyoongezeka, badala ya serikali yetu kuongeza magereza, wange invest kwenye kuboresha uchumi, watu wapunguze kupigika, vibaka wapungue.Inasikitisha sana wakati wenzetu ulaya magereza yanakosa wafungwa wanayafunga na kubadilisha matumizi.Gharama ya kujenga hayo magereza wangefunga cctv kila mji.Pia kuwekeza katika elimu mikoa ya ziwa victoria penye mauaji kila siku
Mshauri mkuu wa mtukufu ni Daud Arbaty Bashite ambaye hana vyeti na washauri wa Bashite ni kubwa jinga Le mutuz na kilaza Musiba unategemea nini kwenye huo mnyororo zaidi ya vioja?Inasikitisha sana wakati wenzetu ulaya magereza yanakosa wafungwa wanayafunga na kubadilisha matumizi.Gharama ya kujenga hayo magereza wangefunga cctv kila mji.Pia kuwekeza katika elimu mikoa ya ziwa victoria penye mauaji kila siku
ISIS
MSAGA SUMU
Mshana Jr
Pascal Mayalla
Mshauri mkuu wa Mtukufu ni Bashite lazima watakuja na vituko kila siku.They won't build schools anymore, they won't build no hospitals, all they build were prisons prisons
I am in priiiiiiiiisoooooon
~Lucky Dube
Kwani umeacha kulipa kodi mkuu?Afadhali hizo pesa zisipatikane tu
Badala ya kujenge vyuo vya ufundi kupungaza jobless mnajenga mageteza, akili za kiccm ni primitiveWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti nchini.
Masauni aliyesema hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Rorya, Lameck Airo (CCM). Katika swali lake mbunge huyo alitaka kujua serikali ina mpango gani wa kujenga gereza la Wilaya ya Rorya hasa baada ya kuwa kanda maalumu ya kipolisi.
Akijibu swali hilo, Masauni alisema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti likiwemo eneo la Rorya lakini changamoto kubwa ni upatikanaji wa fedha. Alisema Wilaya ya Rorya ni miongoni mwa wilaya 52 nchini zisizo na magereza.
Aidha kutokana na ufinyu wa bajeti, serikali itaendelea na ukamilishaji wa magereza ambayo ujenzi wake umekwishaanza ambapo kipaumbele ni kuhakikisha inakamilisha miradi ambayo ipo katika hatua mbalimbali za ujenzi.
Ha ha a ha ha ha ha haWapinzani mjiandae mana mnatengenezewa sehem mpya za kuishi. Ila hapa tz aloko salama ni mmoja tu mwenye kinga wengine wote ni wafungwa watarajiwa ni swala la muda hasa wapinzani . Ndo serikali tulonayo
Bashite saa 24 huwa anawaza kuwakomoa chadema, Wapinzani wake kwa ujumla lazima watawaza vitu vibaya kama hivyo badala ya viwanda na mambo mengine ya msingi.Badala ya kujenge vyuo vya ufundi kupungaza jobless mnajenga mageteza, akili za kiccm ni primitive
Naunga mkono hoja. Kwa kadri watu wanavyopigika, ndivyo uhalifu unavyoongezeka, badala ya serikali yetu kuongeza magereza, wange invest kwenye kuboresha uchumi, watu wapunguze kupigika, vibaka wapungue.
Pia serikali iwekeze kwenye elimu ya uraia ya good citizenship, na adhabu mbadala, badala ya kuwafunga mwizi wa kuku, unampatia shughuli ya kumuingizia kipato kumuweza kununua kuku ale.
Wafungwa waliojazana magerezani, wapewe adhabu mbadala, watumikie vifungo vya nje.
Kanda ya ziwa, wale jirani zetu wanaopenda kuuana kwa wivu wa mapenzi, wapewe tuu semina za upendo, hata ukimkuta mwizi wako anakula mali zako, usimuue kwa hasira, msubiri tuu amalize, na kumruhusu aende zake tuu bila kumfanya chochote,, kwa sababu hata ale vipi, hawezi kumaliza, chakula cha kuwatosha wote mshibe bado kinakuwepo, na vyakula vingine sio big G kusema itaisha utamu, akimaliza kula, mpe muda wa kumpumzika, na wewe utaendelea kufaidi tuu, kwa sababu utamu haushi, na habandui kuondoka nayo, na kuna vitu vingine, hakuna makombo, hivyo mauaji ya wivu wa mapenzi, yatakwisha.
P
Kuna mawaziri wangapi wa mambo ya ndani?WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti nchini.
.
Yeye huwa haombie vitu vdogovdogo. Daraja likizingua jmbon kwake huwaga anazama mfukoni.Yaani Lameck ktk kipindi chako chote cha ubunge jimboni kwako upungufu uliyobaini ni wa gereza tu? Watu wanaomba miradi ya maendeleo wewe unaomba gereza?
Masaun Ni naibu waziri.nadhani Ni typing error tu.asante kunisahihishaKuna mawaziri wangapi wa mambo ya ndani?
Ukumbuke "mchimba kaburi........" Juzi hapa tuliona Lau Masha anapandishwa karandinga la polisi lakini kipindi cha yy ndiye aliyekuwa akiamuru sweka huyu....Leo yy ndio anaswekwa!WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti nchini.
Masauni aliyesema hayo bungeni jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Rorya, Lameck Airo (CCM). Katika swali lake mbunge huyo alitaka kujua serikali ina mpango gani wa kujenga gereza la Wilaya ya Rorya hasa baada ya kuwa kanda maalumu ya kipolisi.
Akijibu swali hilo, Masauni alisema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti likiwemo eneo la Rorya lakini changamoto kubwa ni upatikanaji wa fedha. Alisema Wilaya ya Rorya ni miongoni mwa wilaya 52 nchini zisizo na magereza.
Aidha kutokana na ufinyu wa bajeti, serikali itaendelea na ukamilishaji wa magereza ambayo ujenzi wake umekwishaanza ambapo kipaumbele ni kuhakikisha inakamilisha miradi ambayo ipo katika hatua mbalimbali za ujenzi.
Ndiyo CCM inakotupeleka sasa magereza wayajenge hata elfu 10 haitasaidia kituWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema serikali ina mpango wa kujenga magereza 52 katika maeneo tofauti nchini.