MAGAZIJUTO

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,349
Katika pita pita zangu huku na kule nimegundua ya kwamba kanuni moja matata tuliyokuwa tukitumia mashuleni hasa elimu msingi na sekondari ya MAGAZIJUTO ndio iko applicable katika daily life la mwanadamu yeyote bila kujali kama hakwenda shule au alienda.


Cha kushangaza zaidi hata wenzetu wale waliokuwa wakijinasibu kuwa wao ni HKL kule sekondari wanatumia hii kanuni bila kujijua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Chezea maths wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani Kuna ile kitu ilikuwa inaitwa logarithm na four figure.Mie nilipita bure kabisa ilikuwa Kama msabato na Quran.Yani sijawahi ielewa.
 
Jamani Kuna ile kitu ilikuwa inaitwa logarithm na four figure.Mie nilipita bure kabisa ilikuwa Kama msabato na Quran.Yani sijawahi ielewa.
Umenichekesha mkuu..Siyo ww tu uliyepita buuureee wapo wengi kama ww...
 
Log kama ukumbuka
Duh! Inawezekana maana binafsi sijawahi kukutana nazo popote kwenye maisha... Umenikumbusha mbali sana "The logarithm to base 10 (that is b = 10) is called the common logarithm and has many applications in science and engineering. The natural logarithm has the number e (that is b ≈ 2.718) as its base; its use is widespread in mathematics and physics, because of its simpler derivative."...

Maisha ya shule bhana!...
 
Jamani Kuna ile kitu ilikuwa inaitwa logarithm na four figure.Mie nilipita bure kabisa ilikuwa Kama msabato na Quran.Yani sijawahi ielewa.
Duh math ni khatari kuna jamaa mmoja yupo kule Mchikichini mwenyewe anajiita HIDDEN,, yani amemeza hadi ile four figures
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…