Hiyo taarifa ya shule kwenye The Citizen ni laki au ni Milioni au ni Elfu nne inapewa shule
Na hiyo ruzuku ni ya kuwanunulia maandazi walimu au ni ya kuwapa wanafunzi au ni ya nini
Na wakati huo huo kwa Mkulo kuna namba zenye sifuri tisa zimeliwa
Duh kweli hii ni tanzani