Magazeti ya Shigongo kulikoni

Magazeti ya Shigongo kulikoni

anajaribu kudhoofisha mapambano ya wana mabadiliko...abakie na utunz wa stories zake .... Maana mara udini mara nn..... Sitak kumsikia tena

ni kama unatafuta ajira. Nenda bilicanas club, vipeperushi vya udaku TANZANIA DAIMA, mawio na mwanahalisi kuna ofa 25 za kazi zimetoka jioni, wahi. Ni shida
 
Last edited by a moderator:
leo nimesoma katika gazeti la Mizengwe ya Uchaguzi. lakini nilichoshangaa ni kwamba karibu gazeti zima linakosoa juhudi za UKAWA kutaka kuchukua nchi. mara nyingi limemkosoa Lowassa na Sumaye kwa kuhama CCM. Kwa mfano kichwa cha leo kinasema Edward Lowassa awaambia watanzania waache upumbavu. lakini ukisoma kwa ndani utagundua kwamba kuna negative tu zinazungumzwa kuhusu Lowasa na Ukawa kwa ujumla isipokuwa kuna makala moja ambayo imeelezea namna watu walivyochoshwa na maisha magumu. jamani swali langu nataka kujua Eric Shigongo ni kada wa CCM na kama ni hivyo je na vyombo vyake navyo ni kada wa CCM. Kama anataka hivyo basi awaambie watu wajue kimoja baada ya uchaguzi hakuna kusoma magazeti yake

Ndio shida yenu!
Watu wasi exercise freedom yao ya expression!
Acha ACT wajidai, acha ccm waongee, acha ukawa wawe huru!
Ni upumbavu, mkileta hizo watu watasusia pia kutrade nanyi, na hivi mnajulikana hata kwa hisia tu, mtakuja kujuta!
 
leo nimesoma katika gazeti la Mizengwe ya Uchaguzi. lakini nilichoshangaa ni kwamba karibu gazeti zima linakosoa juhudi za UKAWA kutaka kuchukua nchi. mara nyingi limemkosoa Lowassa na Sumaye kwa kuhama CCM. Kwa mfano kichwa cha leo kinasema Edward Lowassa awaambia watanzania waache upumbavu. lakini ukisoma kwa ndani utagundua kwamba kuna negative tu zinazungumzwa kuhusu Lowasa na Ukawa kwa ujumla isipokuwa kuna makala moja ambayo imeelezea namna watu walivyochoshwa na maisha magumu. jamani swali langu nataka kujua Eric Shigongo ni kada wa CCM na kama ni hivyo je na vyombo vyake navyo ni kada wa CCM. Kama anataka hivyo basi awaambie watu wajue kimoja baada ya uchaguzi hakuna kusoma magazeti yake

kama huyo mpuuzi magazeti yake yataendelea kupotosha umma tuyasusie...tusiyanunue wala kuyasoma magazeti hayo ya CCM.
 
Mbona Gazeti la Mwanahalisi na Mawio Hamyajadili Humu?

Yani kila mtu atakae kwenda kinyume na nyie basi hafai...

Basi Mngeanzisha na nyie la kwenu... Kumjadili mtu na Biashara Yake ni kukosa Uelewa.
Certificate ya kujiunga UKAWA ni lazima mtu awe mjinga kupindukia. Hivyo wasamehe hawa Nyumbu. Tarehe 26 watakuwa wanavuka mto mara kurudi walikotoka
 
Katika kipindi hiki cha campaign nimebahatika kutembea miji mingi mikubwa ya hapa TZ. Kuanzia Dar, Ars, Mby, Mz, Ms na Tanga.Nilichogundua ni kuwa people are in business. Pamoja na joto kubwa la kisiasa mwaka huu,huwezi kuta sehemu ya biashara iwe duka,baa,grocery kuna bango au picha ya mgombea yeyote.Hii ni kukwepa kukosa wateja wa sehemu ambayo utakuwa hukuweka bango/picha yake. Sasa nashangaa magazeti, sijui wao hawapo kibiashara zaidi?Magazeti mengi yamekuwa kama Uhuru naMzalendo ambayo siwezi kusema lolote kwani ni ya ccm.Sasa Habari leo,Daily News na Sunday News[ya Serikali]nayo yameungaba na hayo ya ccm,na haya ya binafsi pia? Nafikiri ni uwezo mdogo wa projection ya mambo.
 
ni kama unatafuta ajira. Nenda bilicanas club, vipeperushi vya udaku TANZANIA DAIMA, mawio na mwanahalisi kuna ofa 25 za kazi zimetoka jioni, wahi. Ni shida

kumbe ww ni walewale... nyie ni wa kuwapuuza tu.... ushalewa na maj ya bendera ya mafisiem
 
Last edited by a moderator:
Anataka pata huruma ya kupewa ubunge WA kuteuliwa kwa jins anavojiamisha Magufuli atashinda
 
leo nimesoma katika gazeti la Mizengwe ya Uchaguzi. lakini nilichoshangaa ni kwamba karibu gazeti zima linakosoa juhudi za UKAWA kutaka kuchukua nchi. mara nyingi limemkosoa Lowassa na Sumaye kwa kuhama CCM. Kwa mfano kichwa cha leo kinasema Edward Lowassa awaambia watanzania waache upumbavu. lakini ukisoma kwa ndani utagundua kwamba kuna negative tu zinazungumzwa kuhusu Lowasa na Ukawa kwa ujumla isipokuwa kuna makala moja ambayo imeelezea namna watu walivyochoshwa na maisha magumu. jamani swali langu nataka kujua Eric Shigongo ni kada wa CCM na kama ni hivyo je na vyombo vyake navyo ni kada wa CCM. Kama anataka hivyo basi awaambie watu wajue kimoja baada ya uchaguzi hakuna kusoma magazeti yake

MAGAZETI YA MTANZANIA NA TANZANIA DAIMA, ITV YANAANDIKA NEGATIVE KUHUSU CCM... Hilo hulioni? hivi nyie mbona mnalalamika kila kitu? mpaka mnakera... anzisha nawewe gazeti lako la Ukawa tutalisoma tu... Eti baada ya uchaguzi msiyasome, hivi ni kuna sheria inayowalazimisha kusoma?
 
Daaa sikuhizi amekuja na kastaili kake kakitoto ktk safu ya mbele ya gazeti lake hili, Anaandika kichwa cha Habari kizuri cha matumaini kwa wana mabadiliko ili wahamasike kununua gazeti lake, lakini ndani anaandika utumbo. Aliona hayauziki akaamua kuja na staili hii, mimi sitaki hata kuliona hilo gazeti ni unafiki mtupu. .
 
Hayo magazeti ya shigongo hayana tofauti na uhuru
 
Back
Top Bottom