Magazeti ya New Habari kulikoni?

M-bongo

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
338
71
Wana JF
Nilianza kufatilia magazeti ya New Habari tangu siku walipoandika Coverage ya Arusha siku hiyo ndio nilinunua gazeti loa Mtanzania kwa mara ya kwanza,baada ya kutolinunua kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Jamani najiuliza leo nimesoma RAI na jpili nilisoma gazeti la Mtanzania na kwa muda tu magazeti haya yamekua na muelekekeo ambao kwa hali ya kawaida usingelitarajia najiuliza kuna mabadiliko gani? wenye Taarifa mtujulishe tusaidieni yamekua na muelekeo tofauti na ule tuliokua tunautarajia.

OUT OF CURIOUSITY
 
Habari za ndani zinasema wameamua kubadilika kwa sababu za kibiashara kwamba hawauzi kabisa na pia kuna kutokuelewana kati ya mmiliki na wakuu mbalimbali sasa wanajibu mapigo kimtindo.
 
Hakuna mabadiliko kwa sababu kazi waliyotumwa wakati wa uchaguzi imekwisha na wamefanikisha. Urais wamepata na wana uhakika wa kula miaka mingine mitano. Hiyo ndiyo tabia halisi ya mafisadi papa. Wanabadilika kama vinyonga.

Kamwe usidanganyike.
 
Wana JF
Nilianza kufatilia magazeti ya New Habari tangu siku walipoandika Coverage ya Arusha siku hiyo ndio nilinunua gazeti loa Mtanzania kwa mara ya kwanza,baada ya kutolinunua kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Jamani najiuliza leo nimesoma RAI na jpili nilisoma gazeti la Mtanzania na kwa muda tu magazeti haya yamekua na muelekekeo ambao kwa hali ya kawaida usingelitarajia najiuliza kuna mabadiliko gani? wenye Taarifa mtujulishe tusaidieni yamekua na muelekeo tofauti na ule tuliokua tunautarajia.

OUT OF CURIOUSITY

Walisahau kuwa ile ni biashara, wakawa wanaandika habari kwa namna ambavyo wao walikuwa wanatamani iwe huku wakiupotosha umma. Watu wakagundua wakawatosa, wakakosa mauzo sasa wanatamani kupata sapoti ya umma, wanajitahidi kurudi kwenye ukweli japo bado wapo mbali.
 
Hata wafanye nini hawawezi kushindana sokoni. Kuna watu wengi wanakataa kununua magezeti ya New Habari Corporation kwa vile hawapendi kumpa pesa Rostam. Hilo tu!
 
Walikuwa hawauzi hivyo wakaamua kubadilika kidogo ili wawe wanapenyeza propaganda zao kidogo kidogo, ile wholesale wamegundua hailipi.

Usidanganyike bado ni yaleyale, na wala sikushauri uyanunue
 
Wana JF
Nilianza kufatilia magazeti ya New Habari tangu siku walipoandika Coverage ya Arusha siku hiyo ndio nilinunua gazeti loa Mtanzania kwa mara ya kwanza,baada ya kutolinunua kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Jamani najiuliza leo nimesoma RAI na jpili nilisoma gazeti la Mtanzania na kwa muda tu magazeti haya yamekua na muelekekeo ambao kwa hali ya kawaida usingelitarajia najiuliza kuna mabadiliko gani? wenye Taarifa mtujulishe tusaidieni yamekua na muelekeo tofauti na ule tuliokua tunautarajia.

OUT OF CURIOUSITY

Gazeti Mwanahalisi tu haya mengine ni politics tu
 
Watawala mara nyingi hutumia kitu kinaitwa hegemony kupunguza nmakali ya upinzani wa wananchi. Ni kama kuuma na kupuliza. Baada ya kuuma sasa wanapuliza ili watu wasahau kisha waanze kuuma upya!
 
Watawala mara nyingi mambo yanapowazidia hutumia kitu kinaitwa hegemoy. Hii ni kupumbaza jamii. Ni kama kuuma na kupuliza, baada ya kuuma sasa wanapuliza ili baadae waanze tena kuuma.
 
Back
Top Bottom