Nikimaanisha Mwanahalisi na Raia Mwema.
Jana nilibahatika kuwahoji baadhi ya wauza magazeti kuhusu magazeti gani huwa wanayauza sana.
Wengi wao wakasema ikifika mida ya saa kumi jioni ni vigumu kuendelea kuwa na copy za hayo magazeti hayo kwenye meza za mauzo.
Nikaangalia vichwa vya habari jana
Raia mwema Dk Slaa amnyima usingizi Kikwete
Mwanahalisi Umaarufu wa JK feki
MY TAKE
Naona watanzania wa sasa wanapenda kujua undani wa mambo mbalimbali ya nchi yao kwa kina na si kwa usanii na uwoga.