Magazeti ya Kesho 30/03/2017 na Makonda.

Magazeti ya Kesho 30/03/2017 na Makonda.

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,309
Reaction score
17,844
Huyu jamaa kaitwa kwenye tume ya maadili Ya Bunge.
Ni kweli magazeti hayataitoa hii taarifa kesho?

Ndiyo tupime vyombo vyetu vya habari vikoje na misimamo yao.
 
c296ed871c2d2abfce8238f6c78a3d99.jpg
 
Aiseee tatizo nn Rufiji? Viongozi wataishaaa jamani , serikali iko wapi?
 
hata hao wengne wako sawa! waliposema hawataandika habari za makonda ni zile za kutafuta kiki, ila za kumwaibisha lazma wataandika tu kama hzo za leo!
 
Back
Top Bottom