Magazeti na vyombo vya habari vinavyofichua upotevu wa mapato yazawadiwe

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,992
Kuna magazeti ambaye yanafichua upotevu wa mapato ambao ukishughulikiwa tu serikali inapata mabilioni ya mapato yake nashaui wazawadiwe.

Kwa kuanzia napendekeza Gazeti la JAMHURI lipewe kwa kufichua maovu kule kwenye maghala ya mafuta.Uandishi wa hilo gazeti uko makini kwenye habari zake unakuwa umesheni vielelezo na ushahidi wa kutosha usio na shaka yoyote.

Ni vizuri vyombo vingine vya habari viige mfano wa Gazeti la Jamhuri
 
Wanatakiwa wazawadiwe na waajiri wao. Hilo ni moja ya majukumu ya msingi ya magazeti. Reward kubwa ni consumers kujenga trust, na gazeti husika kuwa credible as a result mauzo yanaongezeka. Hivyo kwa mmiliki aliye makini, anatakiwa kumotivate wafanyakazi wake waandike habari zenye mashiko na impact ktk jamii, ili gazeti liwe credible.
 
Kuna magazeti ambaye yanafichua upotevu wa mapato ambao ukishughulikiwa tu serikali inapata mabilioni ya mapato yake nashaui wazawadiwe.

Kwa kuanzia napendekeza Gazeti la JAMHURI lipewe kwa kufichua maovu kule kwenye maghala ya mafuta.Uandishi wa hilo gazeti uko makini kwenye habari zake unakuwa umesheni vielelezo na ushahidi wa kutosha usio na shaka yoyote.

Ni vizuri vyombo vingine vya habari viige mfano wa Gazeti la Jamhuri
NAIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA KWA KUTOPUZIA HABARI HII
 
Kuna magazeti ambaye yanafichua upotevu wa mapato ambao ukishughulikiwa tu serikali inapata mabilioni ya mapato yake nashaui wazawadiwe.

Kwa kuanzia napendekeza Gazeti la JAMHURI lipewe kwa kufichua maovu kule kwenye maghala ya mafuta.Uandishi wa hilo gazeti uko makini kwenye habari zake unakuwa umesheni vielelezo na ushahidi wa kutosha usio na shaka yoyote.

Ni vizuri vyombo vingine vya habari viige mfano wa Gazeti la Jamhuri
Hatuna pesa hiyo kwa sasa hivi. Tujenge madarasa. Kama kuna nishani wapewe.
 
Kuna magazeti ambaye yanafichua upotevu wa mapato ambao ukishughulikiwa tu serikali inapata mabilioni ya mapato yake nashaui wazawadiwe.

Kwa kuanzia napendekeza Gazeti la JAMHURI lipewe kwa kufichua maovu kule kwenye maghala ya mafuta.Uandishi wa hilo gazeti uko makini kwenye habari zake unakuwa umesheni vielelezo na ushahidi wa kutosha usio na shaka yoyote.

Ni vizuri vyombo vingine vya habari viige mfano wa Gazeti la Jamhuri
Angalau hili tunaweza kuliita gazeti la habari za kiuchunguzi..siyo lile gazeti la yule jamaa wa elimu ya hapa na pale..!
 
Back
Top Bottom