Kwanza kasema kaskazini mwa Tanzania ambayo ni arusha mwanza mara tanga kilimanjaro nkYawezekana au ikawa ni kutaka sifa
Ndiyo ushangae mkuuSio sifa jamaa ndoutamaduni wao kila mwaka
hakuna mzaramo Dar, wamesukumiwa Pwani.Misifa ya kijinga.
Wazaramo wenye dar yao wanawachora tu
Achana na kukariri ramaniKwanza kasema kaskazini mwa Tanzania ambayo ni arusha mwanza mara tanga kilimanjaro nk
Hapa ninachokiona kinatafutwa ni ukanda tu hakuna kingine kwani hiyo mikoa haswa iko upande gani mwa TanzaniaAchana na kukariri ramani
Ukiskia KASKAZINI ujue Kaskazini kweli na sio kaskazini magharibi ya mwanza na mara....kule ni KANDA YA NYONYO!
Mtu akisema KASKAZINI dont get twisted na Kaskazini zote mbili ya mashariki na ya nyonyo mana Kaskazini ipo moja tu.
hakuna mzaramo Dar, wamesukumiwa Pwani.
wako Chole, Kazimzumbe nakuendelea
Kama hiyo mikoa ingekua KASKAZINI kweli mbona inaitwa KANDA YA NYONYO na sio KANDA YA KASKAZINI ya Kilimanjaro & Arusha Featuring Tanga & Manyara???Hapa ninachokiona kinatafutwa ni ukanda tu hakuna kingine kwani hiyo mikoa haswa iko upande gani mwa Tanzania
Barabara zote kuu magari yamejaa, hadi inakera kuendesha gari, naona Wtz wengi wanarudi vijijini kujumuika na jamiiNikiwa njiani kutokea Arusha Jana mpaka Leo tarehe 22 Dec nimeshuhudia kupishana na msururu wa magari binafsi mengi utafikiri wadudu wakisafiri, yote yanaonekana kutokea Dar, je watu wa kaskazini ndiyo wanaongoza kuwa na vyombo vya usafiri au Magari
Kwani kijana huko unajikosha kuna nini mpaka unaita kanda ya nyonyo mikoa mingineKama hiyo mikoa ingekua KASKAZINI kweli mbona inaitwa KANDA YA NYONYO na sio KANDA YA KASKAZINI ya Kilimanjaro & Arusha Featuring Tanga & Manyara???
Katika Ramani inaonekana ipo Kanda ya Kaskazini Magharibi na Kaskazini Mashariki ila kiuhalisia ipo KASKAZINI moja tu unless kama Nyonyo wanataka wajiunge nao Kaskazini ila tatizo nyota