edward pais
Member
- Aug 16, 2016
- 38
- 60
Wanajamii salaam. Naomba kujuzwa kwa wale mafundi wa magari na wale wenye uelewa wa magari ingawa si mafundi. Gari yenye open roof huwa yana ubora gani, je yanatumia mafuta sana. Na kama inasababisha kutumia mafuta mengi kiufund yanatumikaje. Je ni mapambo au madoido ya urembo Wa gari. Je open roof inaongeza thamani ya gari mfano magari ya namna hyo yanabei kubwa....Kwa ufupi kazi ya open roof ktk gari ni nin.Naomba kujuzwa