Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,458
- 617
Kama ua Gari la bei Rahisi lisilozidi mil 5 weka Hapa Aina, Bei na Mawsiliano ikibidi nPicha, Anayehitaji atakupigia simu hata kama sio Mimi. Uzi huu unaweza kuwa wa Kudumu na ntajitahidi kuUpdate.
Hapa ndipo JF ilipo naamini mpaka Gari za Mil 2 zitawekwa hapa.
Hapa ndipo JF ilipo naamini mpaka Gari za Mil 2 zitawekwa hapa.