magari yanauzwa

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,587
4,323
toyota prado zx ipo kwenye hali nzuri sana bei milioni 22,
toyota landcruiser 1kz ipo kwenye hali nzuri sana bei 16 milioni,ukionyesha nia ya kununua bei zinapungua, nitumie meseji hapa kwa mawasiliano au tuma email kwenda somigroup@yahoo.com nitakutafuta
 
mkuu tunaomba details za kila gari
ili tuweze kujionea na kufanya uamuzii
please, hasa ccc, km, ya mwaka gani na imeingia lini nchini
thanks
 
Back
Top Bottom