Magari ya Zimamoto fedha za BoT?!!! EL!!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari ya Zimamoto fedha za BoT?!!! EL!!!??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjukuu, Jan 25, 2008.

 1. M

  Mjukuu New Member

  #1
  Jan 25, 2008
  Joined: Dec 10, 2007
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani haya magari ya zimamoto ndiyo yale yaliingizwa na dogo, Lukaza wa Kernel? yule anayehusishwa na BoT, EPA? Je, si ndiye aliyekwenda Monduli kuchoma nyama siku mbili kabla ya Chrrimas, Desemba 23? NAULIZA TU MAANA NASIKIA HARUFU MBAYA. SIPENDI KUSEMA HADI YANIUME  http://majira.co.tz/mobile/page.php?soma=sayansi&habariNamba=3686

   
 2. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hivi karnel haina uhusiano na Liyumba?mtu anayeweza kupata AOA au MOA atueleze kwa uwazi.
   
 3. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2008
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kuna moto ulitokea ikulu wakati wa Che Nkapa tuliambiwa ni moto uliosababishwa na pasi je ilikuwa pasi ya mkaa au ipi? naomba kuwasilisha
   
Loading...