Tuanze taratibu, huyo jamaa yako ametumia hiyo gari muda gani? Inamaana hakuwahi kurenew road licence? Na amenunua hapahapa Bongo? Maana upo uwezekano kuwa alinunua gari ya uwizi.wakuu nimeshuhudia mkasa mmoja ambao umenisukuma kuja kuuleta hapa jamvini ili tuweze kuelimishana. Nina mshkaji wangu mmoja alinunua gari kwa jamaa sasa ameichoka akaamua kuiuza. katika kutafuta mteja akampata afisa mmoja wa usalama,wameelewana bei kila kitu mwisho ikafikia wakati wa kukabidhiana documents. Afisa kachukua documents akasema azihakikishe, kilichotokea kwanza kadi ya gari yenyewe ilikuwa kanyaboya (fake) pili engine # na ile iliyoandikwa kwenye kadi tofauti, tatu chasis # imemiss tarakimu, jamaa kaponea chupuchupu kulala sero...sasa ninachotaka kujua kabla hujaenda TRA kuhakikisha je utajuaje documents ni fake?.......nimesikia hata shipping documents watu wanafyetua...help pls
Tuanze taratibu, huyo jamaa yako ametumia hiyo gari muda gani? Inamaana hakuwahi kurenew road licence? Na amenunua hapahapa Bongo? Maana upo uwezekano kuwa alinunua gari ya uwizi.
Yard nyingi kwa Bongo ni km umeenda kununua kiatu kariakoo. Kuna uwezekano ukaondoka na boksi lenye viatu unavyohitaji au boksi lenye viatu visivyo. Maana hawa jamaa wanaouza magari utawasikia mara nyingi wanasema na kadi tunaishughulikia kabisa (hapa ndio kwenye tatizo). Maana inakuwa card fake. Ukiweza check kila kitu kabla ya makabidhiano. Sasa km aliweza kurenew inawezekana pia wachapaji walikosea. Angeweza kuanzia TRA au hata polisi maana vinginevyo itakula kwake.apart from kuagiza nje....mbona nasikia hata yard mtu unalizwa vile vile
ni PM ukitaka mambo hayo bila kupata usumbufuapart from kuagiza nje....mbona nasikia hata yard mtu unalizwa vile vile
wakuu nimeshuhudia mkasa mmoja ambao umenisukuma kuja kuuleta hapa jamvini ili tuweze kuelimishana. Nina mshkaji wangu mmoja alinunua gari kwa jamaa sasa ameichoka akaamua kuiuza. katika kutafuta mteja akampata afisa mmoja wa usalama,wameelewana bei kila kitu mwisho ikafikia wakati wa kukabidhiana documents. Afisa kachukua documents akasema azihakikishe, kilichotokea kwanza kadi ya gari yenyewe ilikuwa kanyaboya (fake) pili engine # na ile iliyoandikwa kwenye kadi tofauti, tatu chasis # imemiss tarakimu, jamaa kaponea chupuchupu kulala sero...sasa ninachotaka kujua kabla hujaenda TRA kuhakikisha je utajuaje documents ni fake?.......nimesikia hata shipping documents watu wanafyetua...help pls
hapo ndio nilichoka..kurenew licence alirenew mara kama mbili na gari aliinunua hapa hapa bongo
huyo rafiki yako anajua A to Z ya hilo gari ila ajakueleza ukweli. Huyo rafiki yako ni muhusika mkuuu
yard haziuzii watu magari ya wizi bila kuwataarifu wenyewe
watu wengi wanaoendesha magari ya wizi wanajua ni magari ya wizi, wanafanya hivyo kwa ajili bei ni rahisi mkuuu
Siku hizi documents nyingi (card au renewal zake) zinafanyiwa barabarani au mitaani. Kwa mfano kijiwe sugu sana kwa hii biashara ya documents fake za magari na zinginezo ni mbele ya Billicanas na Break Point. Pale unaweza ukamili gari miaka yote na usijue biashara za TRA. Hata ukihitaji documents zingine kama vile fm 4 and fm 6 certificates, jamaa wapo pale, unawapa hela, next day unakuja kuchukua cheti kikiwa na jina lako na number ambayo iko registered Baraza la Mitihani la Taifa.
Ukitaka kununua gari ambalo una wasi wasi nalo, mwambie mwenye gari akupe card then panda makao makuu ya Police ghorofa ya sita. Unawakatia jamaa kidogo dogo wanakupa details zote za wamiliki wa hiyo gari baada ya kutengenezwa mpaka siku hiyo.
Msilaumu system, hata dola fake siku hizi zinapita kwenye machine....
duh,mpaka hapo nimenawa mikono.hii nchi sijui inelekea wapi.sipati picha baada ya miaka kumi itakuwaje.Siku hizi documents nyingi (card au renewal zake) zinafanyiwa barabarani au mitaani. Kwa mfano kijiwe sugu sana kwa hii biashara ya documents fake za magari na zinginezo ni mbele ya Billicanas na Break Point. Pale unaweza ukamili gari miaka yote na usijue biashara za TRA. Hata ukihitaji documents zingine kama vile fm 4 and fm 6 certificates, jamaa wapo pale, unawapa hela, next day unakuja kuchukua cheti kikiwa na jina lako na number ambayo iko registered Baraza la Mitihani la Taifa.
Ukitaka kununua gari ambalo una wasi wasi nalo, mwambie mwenye gari akupe card then panda makao makuu ya Police ghorofa ya sita. Unawakatia jamaa kidogo dogo wanakupa details zote za wamiliki wa hiyo gari baada ya kutengenezwa mpaka siku hiyo.
Msilaumu system, hata dola fake siku hizi zinapita kwenye machine....
Siku hizi documents nyingi (card au renewal zake) zinafanyiwa barabarani au mitaani. Kwa mfano kijiwe sugu sana kwa hii biashara ya documents fake za magari na zinginezo ni mbele ya Billicanas na Break Point. Pale unaweza ukamili gari miaka yote na usijue biashara za TRA. Hata ukihitaji documents zingine kama vile fm 4 and fm 6 certificates, jamaa wapo pale, unawapa hela, next day unakuja kuchukua cheti kikiwa na jina lako na number ambayo iko registered Baraza la Mitihani la Taifa.
Ukitaka kununua gari ambalo una wasi wasi nalo, mwambie mwenye gari akupe card then panda makao makuu ya Police ghorofa ya sita. Unawakatia jamaa kidogo dogo wanakupa details zote za wamiliki wa hiyo gari baada ya kutengenezwa mpaka siku hiyo.
Msilaumu system, hata dola fake siku hizi zinapita kwenye machine....
Siku hizi documents nyingi (card au renewal zake) zinafanyiwa barabarani au mitaani. Kwa mfano kijiwe sugu sana kwa hii biashara ya documents fake za magari na zinginezo ni mbele ya Billicanas na Break Point. Pale unaweza ukamili gari miaka yote na usijue biashara za TRA. Hata ukihitaji documents zingine kama vile fm 4 and fm 6 certificates, jamaa wapo pale, unawapa hela, next day unakuja kuchukua cheti kikiwa na jina lako na number ambayo iko registered Baraza la Mitihani la Taifa.
Ukitaka kununua gari ambalo una wasi wasi nalo, mwambie mwenye gari akupe card then panda makao makuu ya Police ghorofa ya sita. Unawakatia jamaa kidogo dogo wanakupa details zote za wamiliki wa hiyo gari baada ya kutengenezwa mpaka siku hiyo.
Msilaumu system, hata dola fake siku hizi zinapita kwenye machine....
Hiyo niliyoweka kwenye red, inawezekana kuna wakubwa kwenye system wanahusika maana hicho kijiwe kinajulikana na watu wengi sana lakini hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya wahusika. Nasikia hata ukitaka funguo na mihuli ya ikulu hapo unapata. Mhhh!