Magari ya traffic yamegeuka vituo vya polisi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari ya traffic yamegeuka vituo vya polisi???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Sep 30, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Mwanzoni nilizani ni traffic wadogo wenye kupenda rushwa la hasha naomba niwape hiki kisanga kimetokea saa saba mchana leo hii pale tazara
  nikiwa natoka gongo la mbali traffic akawa anaita ilipofika gari la tatu mbele yetu tukaona anaondoka ..tukiwa tunapita gafla akasimamisha gari yetu...dreva akashuka akaeleekezwa kwenye toyota premio ya dada mmoja traffic ..alipofika akaambiwa jamaa chini ya alfukumi wanamwandikia nikamwambia mwambie 3000 tu...alipowafwata wakamwambia mwite huyo bosi wako

  hamad nilipofika nikakuta mzee mmoja si mzee sana akiwa na nyota zake kaka kwa nyuma...jamani jamani yaani tunabishana na traffic yule bosi anaangalia ..nikamwambia sina akaenda nyuma ya gari akaanza kuandika alipomaliza akanletea na kutaka nikalipe alfu arubaini nikamwambia nalipa central naomba niende nayo akawa anantishia ataita gari la break down kubeba gari yangu nikamwambia kabla ajaibeba nitaanza kwako mara yule mzee akashuka akanza kunihoji nafanya wapi imekuwaje..nikamwambia huyu mjinga mnalea wapuuzi kama hawa nikamwelezea ..mara akamwita ..akaanza kumweleza ooh ninyi ni vijana amtakiwi kutukanana hivi...huku ameshika karatasi ya faini...uwezi amini nikaambiwa nenda usirudie tena

  nikiwa naondoka nikapishana na makonda si chini ya 6 wanaenda pale ..wakakimbilia magari yao ..sasa basi mh mpinga hivi haya magari ya mapolisi yamegeuka vituo vya polisi???

  2))je hivi jiulize kama si makaratasi ya faini feki ile walioniandikia wanampelekea nani ama wanaenda kusema nini huko ofisini ???

  3))mh mpinga embu tusaidie vituo vifuatavyo vinamagari yamekosa tu alama za nenmbo za polisi na picha ya raisi else ni vituo kamali..humo ndani faini unaandikiwa...rushwa humo humo...yaani akuna unachokosa ama tofauti na unapofika kituoni

  namba moja


  wanapaki mbele kidogo karibu na nssf..hawa nahisi wanaongoza kwa kupoteza mapato serikalini maana nasema hivi wamejitosheleza mpaka na break down wanakaa nayo pale pembeni

  kona ya kawe

  hawa hata mshipa wa aibu awana kabisa huwa wanasimamisha gari live wanakuuliza tupatie chai bila hata kuuliza kosa..kwa upande wetu ni waungwana kidogo
  ila tunaomba atuitaji hizi kashfa jamani..hawa wameendelea wana magari 3 ya traffic yanapaki pale chini ya mti mawili na moja linapaki kwa mbele ukiwa unaelekea lugalo
  hawa naona na vitambi vimeaanza kuwatoka tofauti na walivyoanza ni vyema ukaanza kuwapeleka mbagala utatusaidia sana kwa hili

  kituo cha airport

  hawa akuna tofauti na maharamia..maana wamefungua kituo cha polisi chini ya mti nje ya ofisi za mtu kabisa ..karibu na geti la kuingilia...kwa ufupi ukiwa unatoka airport ukikunja kulia tu angalia kushoto kwako..hawa nao wameadvance wana kaa na breakdown si chini ya mbili.....tunaomba utusaidie kutuelekeza je ndio maendeleo ama mnamwiga mrema kituo cha polisi kila sehemu mpaka kwenye magari yenu

  tunajua mnashida jamani mishahra midogo ..ila kwa hili s vyema mkajirekebisha mtakuwa mmelisaidia jeshi la polisi ingawa aliwajali....

  Mh mwema,mpinga tafadhali toen haya magari mnayofanya vituo vya polisi ni aibu kubwa jwa jeshi lenu

  shukran natanguliza
   
 2. M

  Makanyagio Senior Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Cha kushangaza zaidi ukiwauliza hao viongozi wao wanaruka futi millioni moja hakuna rushwa polisi utafikiri hawajui. Kwanza chakujiuliza traffic kwenda barabarani na gari yake binafisi maaana yake nini? mimi naona ni ushamba na ulimbukeni kwa sababu ni wanajiongezea gharama ya maisha bila sababu ya msingi uku wanalalamika mishahara midogo, traffic ana uuwezo wa kupanga gari yoyote an hadai hata senti. Haya magari ndio ndio vituo vikuu vya kupokelea rushwa. IGP piga marifuku hii kitu bana itakuharibia jina la geshi na weye binafsi..
   
 3. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pdidy pole lakini kwenye yote uloyasema wananimaliza nguvu kwa usemi wa siku hizi wanasema wanakubali kuwa wamo wachache wanaoliaibisha jeshi otherwise jeshi ni safi sana.
  Kosa kubwa ulilolifanya kwenye yote hayo ni:Hukuchukua namba ya huyo polisi aliyekuomba pesa ya mboga,yaani ungekuwa nayo hiyo ni bingo tayari kwa Kova,mpinga na Mh. Mwema.
  Sasa wasi wasi wangu,je kweli uko tayari kwa vita?Maana namba ya gari yako wanayo hawa jamaa,jitayalishe kwa vita kwa ukakamavu.

  Hizo notification papers wanazo za kwao zlizochapwa Kariakoo na wanazo original zinafanya kazi sambamba.
   
Loading...