Magari ya Rizwan

tajili=tajiri
miladi=miradi
 
Kwa nini sheria ya mitandao isipitishwe iwapo wapo watu km hawa, haivumiliki mtu atumie key board kumchafua mkuu wa nchi anavyotaka yeye.
Eti uhuru wa kujieleza, hakuna uhuru usio na mipaka. Hawa ni wakushughulikiwa tu kwa umbea na upotoshaji.
 
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?

Sasa kama zake ww za nn au zinakuuma nn.unataka kumjadili mtu historia ya maisha yake huyajui.yani mtu akiwa nacho mnapiga kelele na wewe si tafuta vyako umekalia kuchunguza tu nani ana nini.au nani kala nini mchana.utakufa masikini tumia muda wako kufanya kazi Sio kudadisi maisha ya mtu.always time is a currency and day is a bank account.apply hiyo formula katika maisha yako itakuweka busy.
 
Wanajf.

Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?

Hueleweki, umeambiwa ni ya Ridhiwani? Nadhani ungeleta mada kuuliza kama ni kweli au la, kabla ya kuuliza utajiri huo kautoa wapi!!
 
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?

Huyo aliyekwambia anajua utajiri kautoa!
 
Maybach (MAY 1) . HAYO YA UNDUGU NA MKUU WA KWATA SIYAFAHAMU .
 
Watanzania Bhana Tunaishiaga Kulalamika Tu!Ila Maamuzi Magumu Huwa Hatuna Alietuloga Kashakufa!
 
Hi kama baba ndio rahisi, we kwa akili zako zaidi kuvukia barabara unafikiria dogo ndo awe mwkota chupa?
Tusidanganyane hapa.Hata ww baba ako ange kua rahisi wewe unge tusumbua sana.
 
acha wivu wa kike ngoja na wewe baba yako awe raisi upige hela kama yeye
 
Halafu moderators wanapenda sana hizi uzi wa kipumbavu. Udaku udaku tu
 
always simple minds discuss people! wewe kaa tu discusss watu muda unakwenda pambana, tafuta usiendekeze ya mitaani/vijiweni, usiseme Tanzania/Watanzania masikini sema wewe na familia yako masikini kwa kushinda FB/JF/INST/TWEET NK, ukuaji wa uchumi unaanzia ngazi ya familia pambana uhakikishe familia yako inapata milo mitatu sio porojo tu.
 
Huyu dogo mnamsingizia jamani, mnakoelekea mtataka kuniaminisha kuwa vitu vyote vizuri hapa nchini kasoro mke wangu ni vya Ridhiwan. NO WAY TOENI USHAHIDI AU Mwacheni ana familia huyu inayoumia mkimsemasema vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…