Made aw kubofya
Member
- May 8, 2012
- 56
- 12
Sasa badala la kutafuta ushahidi wa kitaalam kwanza kama zake unakimbilia kuhoji alikotoa utajiri. Je tukijadili alikotoa utajiri halafu baadae tukagundua gari hazikuwa zake?Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?
Ushahidi upi, kwani ni nini cha kilichofichika mpaka atafute ushahidi?sasa badala la kutafuta ushahidi wa kitaalam kwanza kama zake unakimbilia kuhoji alikotoa utajiri.je tukijadili alikotoa utajiri halafu baadae tukagundua gari hazikuwa zake?
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?
Kwani aliyemwambia ya rizi ni nani?ushahidi upi,kwani ni nini cha kilichofichika mpaka atafute ushahidi?
Ulitaka umwambie wewe????kwani aliyemwambia ya rizi ni nani?
Nchi haijengwi kwa majungu,how sure are you kuwa hayo magari ni ya riz1?