Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,237
- 6,610
Ungewasimamisha ukawahojiMagari mapya yametoka moshi.....yamebeba mkaa full
Ungewasimamisha ukawahojiMagari mapya yametoka moshi.....yamebeba mkaa full
Utakuwa ni polisiUlitaka yakubebe wewe
[emoji63]Ungewasimamisha ukawahoji
Punguza chuki weweLeo nilikuwa mahali kwenye mishe nimeshudia gari 'mpya' za polisi zilizokarabatiwa kule Moshi zikipita kwa mbwembwe. Lakini cha kushangaza kila gari ilionekana kusheheni magunia ya mkaa. Cha kujiuliza hapa hiyo ndio kazi yake? ,Pili wamelipia ushuru maliasili? Maana wamepita kwenye point moja ya maliasili wala hawakusimama.
NawasilishaView attachment 630166
Inawezekana.hicho kilichobebwa ni "kiererezo" kinaenda mahakamani
Mtumishi wa madhabahuni, hula madhabahuni. Acha chuki Dogo.Leo nilikuwa mahali kwenye mishe nimeshudia gari 'mpya' za polisi zilizokarabatiwa kule Moshi zikipita kwa mbwembwe. Lakini cha kushangaza kila gari ilionekana kusheheni magunia ya mkaa. Cha kujiuliza hapa hiyo ndio kazi yake? ,Pili wamelipia ushuru maliasili? Maana wamepita kwenye point moja ya maliasili wala hawakusimama.
NawasilishaView attachment 630166
kusheheni maana yake kujaza mzigoKila gari limesheheni!! Naomba kujuzwa kwanza neno KUSHEHENI ndo niseme chochote.