Magari ya mizigo kupaki barabarani

Tokez

Member
Oct 4, 2012
68
95
Hivi haya magari ya mizigo kupaki barabarani maana yake nini pale kituo cha mwananchi barabara ya mandela utakuta magari kibao yapo yamepaki barabarani bila wasiwasi yanasababisha foleni halafu hakuna hatua zinazo chukuliwa kwa madereva.Kwa kweli hili linakera sana linasababisha foleni isiyo na tija yoyote.Kwani mamlaka husika halioni.Mbona magari binafsi yakipaki sehemu isiyo ruhusiwa mnayafunga minyororo vipi haya?Nanyie watu wa bandari kwanini msitafute eneo nje ya mji muweke bandari kavu zenu?
Jamii naomba tulitafakari hili kwa pamoja.
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,681
2,000
Serikali imewekwa mfukoni na wamiliki wake, najua watabisha lakini huo ndio ukweli
 

HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,330
2,000
wamezidi sana, kwa kweli wameshindikana na kiburi juu, tena pale madereva wengine wanapaki kwa mtindo wa kukunja kona.

Ni usumbufu wa hali ya juu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom