mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,503
- 252
HI????????mJASIRIAMALI SHUPAVU......HIYO SURA YAKO?! ULIPATA JALI?????????????????
Chanzo cha foleni za Dar sio magari ya kuhongwa wala kuhonga, ni miundombinu. PERIOD!
Kama tungekuwa na miundombinu mizuri na mabasi mazuri ya usafiri wa mjini mtu haoni sababu ya kuendesha gari lake. Anapanda basi anakwenda kazini na kurudi. Lakini kwa kuwa kwenye daladala ni kero, mtu yuko radhi anunue gari kwanza kabla ya mambo mengine ili kuepuka usumbufu na kero za kwenye daladala.
hivi kuna magari mangapi hapo DAR?isije kuwa watu wanalalamika magari mengi hawajui hata idadi yake
Hata wanaume nao pia wanahongwa! Tena na wanawake wakubwa kwao, na wake za watu@! Avatar yako kaka!
Yeah ...
Watanzania walio wengi (M/F) wanapima mafanikio kwa mambo matatu: Gari (Used), Nyumba (Mbagala), Duka (Kariakoo)! Mtanzania akishakuwa na hayo mambo matatu anajihesabu kuwa amefanikiwa kimaisha! Hili la Gari limekuwa kama uendawazimu! na ndio maana tume-shift our thinking kutoka kwenye "core values" za maisha na kutapatapa: be it politically, socially and economically
- Ukitizama hali ya miundo mbinu (regardless unaishi sehemu gani ya Dar es Salaam), huwezi kufikiria kununua magari matatu kwa ajili ya (wewe, mkeo, na concubine). Personally, I would rather niwe na gari moja halafu nafanya kazi ya kuwaendesha hawa "wapenzi". Hainingii akilini kuona mume, mke, watoto, concubines, housegirl, serengeti boys, e.t.c wote wanaondoka na kila mtu gari lake asubuhi wanapotoka nyumbani!
Anyways Mwalimu Nyerere alikwisha sema "Upumbavu ni Kipaji"
Tunahitaji kufikiria upya suala la uagizaji magari yaliyokwishatumika (used cars especially from Japan). Aidha kuongeza kodi kubwa kwa magari hayo, au kuzuia kabisa kuaigiza magari ambayo yametengenezwa chini ya miaka mitatu iliyopita yaani 2007......
Hii itasaidia, maana itafanya gharama za kununua magari kupanda, na watu wengi watatnunua tu pale inapobidi na si vinginevyo....... HUO NI USHAURI WANGU KWA KWELI;.... MAANA UKIANGALIA KWA SASA MTU AKIWA NA MILIONI TANO TU (5,000,000/=), ANAWEZA KUNUNUA GARI........
Chanzo cha foleni za Dar sio magari ya kuhongwa wala kuhonga, ni miundombinu. PERIOD!
Kama tungekuwa na miundombinu mizuri na mabasi mazuri ya usafiri wa mjini mtu haoni sababu ya kuendesha gari lake. Anapanda basi anakwenda kazini na kurudi. Lakini kwa kuwa kwenye daladala ni kero, mtu yuko radhi anunue gari kwanza kabla ya mambo mengine ili kuepuka usumbufu na kero za kwenye daladala.
Ni kweli.. Ila rekebisha pls NI KUHONGA (red)
Mkuu! unajua ukiwa hujawahi kula chakula kilichopikwa na mwanamke mwingine zaidi ya mama yako....utasema mama yako ndiye anayeweza kupika chakula kitamu kuliko wanawake wote duniani............Kuna mji wowote mkubwa, africa au ulaya, usio na foleni? j'berg, cape town kote kuna foleni, tokyo, London, foleni ipo.
Hii ya kwetu nayo foleni? watu wanavigari vyao hawataki kupita kwenye fider roads (japo chache), watu hawataki kuamka mapema ili wawahi kabla ya rush hour.
Acheni uvivu bana.

Naishi Idodomya kwa sasa; Hivi karibuni nilikuja kumpokea mpwaz hapo JKN ; nilibahatika kufika Mbezi mwisho saa 12 kamili; nikakutana na mnyororo wa magari hapo bahati mbaya sijaijua njia ya kutokeze Kinyerezi; Niliungana na foleni hiyo na kujikuta nafika Ubungo saa 2 kasoro ; from Ubungo to buguruni ilinichukua another 1.30 mins na pale tena nikasota kwa 40 mins ndo nikafanikwa kuvuka Tazara,
kamanda ukisema watu wawahi kuamka maana yake watoke usiku wa manane?
JK alisema "ukitaka kula shurti uliwe" habari ndio hiyo
Kuhonga wana honga kweli, mimi mke wangu ana gari boss wake kuona hivyo ikabidi amuungie kwa gear nyingine kwanza alimwambia wewe ni mzuri nikupa gari tayari unalo mimi naona bora ni kujengee nyumba ya kwako,yeye alimjibu sawa ila ninaenda kumweleza mme wangu pia nita mweleza na mama ambae ni mkewe, jamaa alikasirika na kuanza vituko kwake, ili bidi nitoe mtaji aache kazi afanye biashara kuondoa usumbufu aliokuwa anaupata ktk kwa boss,hivyo jamaa wanahonga sana hawajali ni mke wa mtu wala nini,
Mkuu! unajua ukiwa hujawahi kula chakula kilichopikwa na mwanamke mwingine zaidi ya mama yako....utasema mama yako ndiye anayeweza kupika chakula kitamu kuliko wanawake wote duniani............Kuna mji wowote mkubwa, africa au ulaya, usio na foleni? j'berg, cape town kote kuna foleni, tokyo, London, foleni ipo.
Hii ya kwetu nayo foleni? watu wanavigari vyao hawataki kupita kwenye fider roads (japo chache), watu hawataki kuamka mapema ili wawahi kabla ya rush hour.
Acheni uvivu bana.
tanzania bila ukimwi....